Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Me wameasi uanaume na kujimilikisha uanawake wakibatiza mama zao majina "mishangazi" ilimradi tu wapate mserereko.
Acha exageration, usukumani kuna umaskini mkali tu tena hichi kipindi cha kiangazi hakuna mboga ya maana, hakuna mtu anaweza kupika nyama kila siku. Hiyo nyama yenyewe usukumani labda imebaki storyView attachment 3664234
Ngoja nikwambie mambo ambayo huko Mwanza ulikuwa ukiyafanya unaonekana wa ajabu...!
1. Mwanaume kula viazi mchana kama chakula... mwanaume kama alikuwa anakula viazi basi viwe vimechomwa 😂
2. Kupika dagaa wana vichwa..
3. Kwenye msiba watu kula majurijuri... majurijuri ni wale watoto wa sangara..ilikuwa dalili ya umaskini wa kutupwa
4. Kwenye sherehe watu kula na maharage bila kaugali na nyama 🤣😂 hii itaingia kwenye rekodi ya sherehe mbaya 😂🤣
5. Kumuuliza mgeni kama hajala umpikie.... aisee atasimuliwa na kutangazwa kijiji kizima
6. Mwanaume kuuliza mke wake kama ile mboga aliyoleta asubuhi imekwisha... hii ilikuwa dalili ya gubu na uchoyo 😂🤣
7. Kula maharage kama mboga... maharage yalikuwa yanaliwa kama snacks tu wakati mnasubiria chakula 🤣😂
Hebu tuambie huko kwenu ni mambo gani mtu alikuwa akifanya anaonekana wa ajabu...!?
Akili unde(mnembe) inakuzidi weww tu akili mimi hapana kwakwel au labda me so bin.Adam wa kawaida.Wala hatuhitaji kujua ujinga jinga wa watu wa maporini ambao bado wanaoishi maisha ya kinyaninyani kwenye karne ya Akili Unde yenye akili kuzidi binadamu wa kawaida.
Kuwa na adabu we dogo. Nani mshamba?kuwa msukuma maana yake wewe ni mshamba
kuwa na adabu nani dogoKuwa na adabu we dogo. Nani mshamba?
Haha hahaJau nyingine kwetu usukumani ni mwanaume kula “ngukulu”,ule ukoko wa ugali.
Wali kudondokewa na mkaa wakati wa kubanika hapa wanaume kaya nzima wanaweza wasile😂🙌
Wewe ni lijizombi la Pemba.Akili unde(mnembe) inakuzidi weww tu akili mimi hapana kwakwel au labda me so bin.Adam wa kawaida.
Very beautifulMsukuma huwa kwanza anapika ugali mkubwaaaa, halafu baadaye anapika kaugali kadogo anakafanya ndio mboga...
Na ziwa halitoi samaki, migodi haitoi madini?Acha exageration, usukumani kuna umaskini mkali tu tena hichi kipindi cha kiangazi hakuna mboga ya maana, hakuna mtu anaweza kupika nyama kila siku. Hiyo nyama yenyewe usukumani labda imebaki story
Mwendo wa misusa na chumvi nyingiAcha exageration, usukumani kuna umaskini mkali tu tena hichi kipindi cha kiangazi hakuna mboga ya maana, hakuna mtu anaweza kupika nyama kila siku. Hiyo nyama yenyewe usukumani labda imebaki story