Mambo ambayo mwanaume akifanya Mwanza/ Usukumani, jamii yote itamshangaa

Wala hatuhitaji kujua ujinga jinga wa watu wa maporini ambao bado wanaoishi maisha ya kinyaninyani kwenye karne ya Akili Unde yenye akili kuzidi binadamu wa kawaida.
Makebo kama makebo njoo huku Lumumba wameshaanza kugawa posho kwa ajili ya kazi ya jumatatuπŸ˜€πŸ˜€usisahau kuja na kadi ya chama
 
Huko kwetu ilikuwa kula ugali ni dalili ya umasikini na maisha kuwachapa sana. Ila kwa sasa ugali na wali ndio kimbilio migomba imenyauka ndizi bei hazishikiki kwa sasa watoto wa kizazi hiki wanapenda ugali kuliko ndizi maana wameuzoea.
 
Aiseee kwa Dar ni kawaida sana.
 
Wala hatuhitaji kujua ujinga jinga wa watu wa maporini ambao bado wanaoishi maisha ya kinyaninyani kwenye karne ya Akili Unde yenye akili kuzidi binadamu wa kawaida.
Nimekuwa nikisoma reply zako kwenye post na thread za watu mbalimbali. Nilichojifunza kutoka kwako, twatakiwa kukisaidia vitu viwili,
1. Matibabu ya changamoto ya afya ya akili inayokupelelea kuwa na chuki na watu wote.
2. Tukupe pesa. Ufukara unakumaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…