Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
- Thread starter
-
- #41
Usikuma hauendekezi ufukaraKwa kweli kua msukuma ni tabu Sana!?
Tuwapime nguvu za kiumeHuko kwetu ilikuwa kula ugali ni dalili ya umasikini na maisha kuwachapa sana. Ila kwa sasa ugali na wali ndio kimbilio migomba imenyauka ndizi bei hazishikiki kwa sasa watoto wa kizazi hiki wanapenda ugali kuliko ndizi maana wameuzoea.
DessertMsukuma OG anakula ugali maziwa halafu baada ya kushiba anashushia wali maharage kama matunda
Kisamvu? Mboga duni zaidi duniani isiyo na viini lishe vyovyote zaidi ya kujaza tumbo. By the way imethibitika kinaleta udumavu wa akili.Kabila langu kumpikia mgeni chakula au kwenye sherehe kuweka menu bila kisamvu cha karanga/mawese unaonekana mchoyo.
Kama akili yako ilivyodumaaKisamvu? Mboga duni zaidi duniani isiyo na viini lishe vyovyote zaidi ya kujaza tumbo. By the way imethibitika kinaleta udumavu wa akili.
Dah!Umewachoka kabisa!Msukuma OG anakula ugali maziwa halafu baada ya kushiba anashushia wali maharage kama matunda
pumbavu kweli wewe, huna kazi ya kufanya unafatlia watu humu ndio maana umo kutwa kuandika ujinga unjingaNimekuwa nikisoma reply zako kwenye post na thread za watu mbalimbali. Nilichojifunza kutoka kwako, twatakiwa kukisaidia vitu viwili,
1. Matibabu ya changamoto ya afya ya akili inayokupelelea kuwa na chuki na watu wote.
2. Tukupe pesa. Ufukara unakumaliza
mbulula wa jf wewe unashinda humu kama zoba fulani kila mada upo pumbavuHitimisho la jinsi ulivyo mjinga.
Utoto anakusumbua.Hadi unamuona mtu kila muda wewe unakuwa sehemu ipi?Acha utoto.mbulula wa jf wewe unashinda humu kama zoba fulani kila mada upo pumbavu
mpuuzi wewe hata nisipokuwepo humu siku kadhaa nikiingia tu na mada ya kwanza kufungua ni nakukuta mbulula ushaweka kigoda, sad loner ,Utoto anakusumbua.Hadi unamuona mtu kila muda wewe unakuwa sehemu ipi?Acha utoto.
Una msongo wa mawazo/sonona tupu.Ukiingia JF lazima uangalie wazee wako kama tupo!?Makeboooo!mpuuzi wewe hata nisipokuwepo humu siku kadhaa nikiingia tu na mada ya kwanza kufungua ni nakukuta mbulula ushaweka kigoda, sad loner ,
kafe mbele huko kigagula weweUna msongo wa mawazo/sonona tupu.Ukiingia JF lazima uangalie wazee wako kama tupo!?Makeboooo!
Kavulana una maneno kama kikundi cha wacheza vigodoro!Utapata shinikizo la damu bure.Tulia.kafe mbele huko kigagula wewe
nilivyosema kafe mbele maana yake potea, ila ulivyo na maisha ya sonona unaendelea kunikwoti undeleze chitchat mbulula wewe, nasema kafe mbele potea tutusa weweKavulana una maneno kama kikundi cha wacheza vigodoro!Utapata shinikizo la damu bure.Tulia.
Makebooooo!nilivyosema kafe mbele maana yake potea, ila ulivyo na maisha ya sonona unaendelea kunikwoti undeleze chitchat mbulula wewe, nasema kafe mbele potea tutusa wewe