MgosiMnubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2022
- 1,836
- 3,153
Si ndomana nimesema ni TABU SANA kua ilo gang!?Usikuma hauendekezi ufukara
Mengi ya uliyoandika yalikuwa ya ajabu pia UJITANI.View attachment 3664234
Ngoja nikwambie mambo ambayo huko Mwanza ulikuwa ukiyafanya unaonekana wa ajabu...!
1. Mwanaume kula viazi mchana kama chakula... mwanaume kama alikuwa anakula viazi basi viwe vimechomwa π
2. Kupika dagaa wana vichwa..
3. Kwenye msiba watu kula majurijuri... majurijuri ni wale watoto wa sangara..ilikuwa dalili ya umaskini wa kutupwa
4. Kwenye sherehe watu kula na maharage bila kaugali na nyama π€£π hii itaingia kwenye rekodi ya sherehe mbaya ππ€£
5. Kumuuliza mgeni kama hajala umpikie.... aisee atasimuliwa na kutangazwa kijiji kizima
6. Mwanaume kuuliza mke wake kama ile mboga aliyoleta asubuhi imekwisha... hii ilikuwa dalili ya gubu na uchoyo ππ€£
7. Kula maharage kama mboga... maharage yalikuwa yanaliwa kama snacks tu wakati mnasubiria chakula π€£π
Hebu tuambie huko kwenu ni mambo gani mtu alikuwa akifanya anaonekana wa ajabu...!?
Moja ya watu wenye majina ya Kirumani,Italy lkn ni wachawi hatari. Unaweza ukamuona binti mdogo tu lkn ni dereva mashuhuri wa KIPALU.Makabila ya Ruvuma wale Wamatengo na Wanyasa.
Kule kwetu mwanaume upate jando alafu eti wazee waache kukutengenezea mchanganyiko wa damu mbichi na maziwa mtindi labda hao wazee ni aibu ya ukoo mzima.View attachment 3664234
Ngoja nikwambie mambo ambayo huko Mwanza ulikuwa ukiyafanya unaonekana wa ajabu...!
1. Mwanaume kula viazi mchana kama chakula... mwanaume kama alikuwa anakula viazi basi viwe vimechomwa π
2. Kupika dagaa wana vichwa..
3. Kwenye msiba watu kula majurijuri... majurijuri ni wale watoto wa sangara..ilikuwa dalili ya umaskini wa kutupwa
4. Kwenye sherehe watu kula na maharage bila kaugali na nyama π€£π hii itaingia kwenye rekodi ya sherehe mbaya ππ€£
5. Kumuuliza mgeni kama hajala umpikie.... aisee atasimuliwa na kutangazwa kijiji kizima
6. Mwanaume kuuliza mke wake kama ile mboga aliyoleta asubuhi imekwisha... hii ilikuwa dalili ya gubu na uchoyo ππ€£
7. Kula maharage kama mboga... maharage yalikuwa yanaliwa kama snacks tu wakati mnasubiria chakula π€£π
Hebu tuambie huko kwenu ni mambo gani mtu alikuwa akifanya anaonekana wa ajabu...!?
Hii hata mimi nilishangaa, eti msukuma anamuona msukuma mwenzake eti ni msukuma.kuwa msukuma maana yake wewe ni mshamba
Mila zidumishweKule kwetu mwanaume upate jando alafu eti wazee waache kukutengenezea mchanganyiko wa damu mbichi na maziwa mtindi labda hao wazee ni aibu ya ukoo mzima.
Kila mahala na utamaduni wake, Wajita wako sawa tu na WapembaMengi ya uliyoandika yalikuwa ya ajabu pia UJITANI.
10. Kumtuma mwanamke akanunue kitoweo lilikuwa jambo la ajabu sana na lisilowezekana.
Haha haha hahapumbavu kweli wewe, huna kazi ya kufanya unafatlia watu humu ndio maana umo kutwa kuandika ujinga unjinga
tafuta shughuli ya kufanya mpuuzi wewe choka mbovu
Bila shaka ni mkoa wa KageraHuko kwetu ilikuwa kula ugali ni dalili ya umasikini na maisha kuwachapa sana. Ila kwa sasa ugali na wali ndio kimbilio migomba imenyauka ndizi bei hazishikiki kwa sasa watoto wa kizazi hiki wanapenda ugali kuliko ndizi maana wameuzoea.