Mambo ambayo nchi ya Marekani imezidiwa kwa mbali na nchi ya Tanzania

Tatizo linaanzia hapo.
We Acha kujiona mwamba nimefanya kazi lindi nachingwea eneo linaitwa nditi mgodi wa wamerikani unaotwa access minerals yani toka mgjodi umefungwa hauna hata wiki 3,hao wamarekani nilikuwa nao daily miaka zaidi ya 4
 
Umesahau mambo mengine muhimu zaidi. Hayo yote uliyoyaandika, Tanzania haiwezi kujivunia kwa sababu hayakutokana na utaalam, bidii au ujuzi wao. Hayo wa kusifiwa ni Muumba wa mbingu na nchi.

Lakini kuna mambo ambayo tunaweza kujisifu, ambayo ni matokeo ya bidii yetu, ambayo tunaizidi Marekani, na huenda tunazizidi nchi zote Duniani:

1) Kuteka na kuua wanaokataa kuwa machawa wa Rais.

2) Watawala hupora rasilimali asilia za nchi na kuwagawia wageni alimradi wao wakipata hongo iliyonenepa, na baada ya hapo machawa hushindana katika kuwasifu hao watawala.

3) Wananchi wake kuridhia kuongozwa na watu wenye akili na upeo mdogo.

4) Vyombo vya ulinzi na hasa polisi na TISS kuwa mali ya watawala, na hupambana na watu wanaomkosoa mtawala badala ya kushughulika na usalama wa wananchi na mali zao.

5) Tunawazidi katika kuyapa mambo ya kijinga uzito mkubwa kuliko yale ambayo ni ya muhimu, kama vile nchi kukosa pesa ya kutoa elimu bora au huduma bora za afya, lakini ina pesa tele za kuwazungusha wasanii Duniani kote wakilipwa posho ya dola 1,000 kwa siku baada ya kuwalipia gharama zote, au kuwa na pesa tele ya kununua magoli.

6) Tunawazidi kwa viongozi wetu kuwa wabinafsu, muda wote kutojishughulisha kufikiria ustawi wa Taifa, bali wanafikiria namna ya kubakia madarakani, iwe kwa njia za kishetani au njia halali.
 
Jana katekwa nani,leo katekwa nan?Acha kuchadadia mambo

Wewe kimeo kama hufuatilii vyombo vya habari ni juu yako. Juzi tu hapo Abdul Nondo alichukuliwa bado Kuna Tarimo alinusurika kutekwa, Ally Kibao, Sativa, baadhi ya wagombea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa kuuwawa. Hayo ni matukio machache tu.
 
Nitaandika kesho leo tuishi humu
 
Wewe kimeo kama hufuatilii vyombo vya habari ni juu yako. Juzi tu hapo Abdul Nondo alichukuliwa bado Kuna Tarimo alinusurika kutekwa, Ally Kibao, Sativa, baadhi ya wagombea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa kuuwawa. Hayo ni matukio machache tu.
Sasa ndiyo kila siku?
 
SAsa kwanini sisi mamasikini mashenzi
 
We Acha kujiona mwamba nimefanya kazi lindi nachingwea eneo linaitwa nditi mgodi wa wamerikani unaotwa access minerals yani toka mgjodi umefungwa hauna hata wiki 3,hao wamarekani nilikuwa nao daily miaka zaidi ya 4
Lindi Nachingwea hujakaa na Wamarekani kwao. Wamarekani wanajua sana kubadilika na mazingira kama vinyonga hivyo ukiwa nao kwenu Lindi Nachingwea kwanza hujapata cross section ya Wamarekani umepata a peep of that, pili hata hao inawezekana walikuwa wamekupa uso fulani wa kukusoma huku wakiwa ugenini zaidi ya uhalisi wao.

Kama hujakaa na Wamarekani Marekani bado huna hoja ya kusema unawajua Wamarekani. Kuna Wamarekani wabishi mnaweza kutumia saa nzima kwenye mkutano mnajadili wapi muweke nukta tu.

Ukikaa nao hao ndiyo utajua Watanzania si wabishi kama Wamarekani.
 
Basi ww iliekaa nao kwao hongera ila nimeishi nao miaka ya kutosha mfano swala la hali ya hewa na urahisi wa maisha ndiyo ilikuwa nyimbo yao kila siku
 
We Acha kujiona mwamba nimefanya kazi lindi nachingwea eneo linaitwa nditi mgodi wa wamerikani unaotwa access minerals yani toka mgjodi umefungwa hauna hata wiki 3,hao wamarekani nilikuwa nao daily miaka zaidi ya 4
Rudi Nditi saivi kuna Wachina wana deal na Nickel.
Mbele pale KIBUTUKA njia ya Liwale watu wanachimba dhahabu kwa Jembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…