Mambo ambayo ni siri yako tu mwanamke hupaswi kumwambia mchumba wako au mume wako

Mambo ambayo ni siri yako tu mwanamke hupaswi kumwambia mchumba wako au mume wako

Matunzo 02

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2026
Posts
1,620
Reaction score
3,165
Kwenye maisha kuna vitu ambavyo hupaswi kumwambia mtu vinabaki kuwa siri yako siyo kwa ubaya ila unapovisema vinaleta machafuko

Kwako mwanamke kuna vitu ambavyo hupaswi kumwambia mme wako

1.mtu aliyekutoa ubikra chonde chonde usije kumtaja hata kama akikuuliza mwambie achana na hayo ebu njoo kwanza.

2.idadi ya wanaume uliofanya nao mapenzi kamwe usiwataje

3.usimwambie kiasi gani unampenda rafiki, mchungaji, shemeji, jirani, msanii wa kiume ety konde boy nampenda sana weee usithubutu utanishukuru ukizeeka

4.usije ukamlinganisha na mwanaume yeyote mbele yake mwambie baba wew ni bora kuliko wote

5.usimsifie mwanaume yeyote mbele yake
MATUNZO NGOJA NIPUMZIKE MAMA NANIII LETAA .......
 
Hapo tuko pamoja, haina maana yoyote. Hata ukiambiwa, utafanya nini?

Ni kitu kinawakosesha raha sana wanawake mwanaume akianza kuganda na kukomaa anataka kujua history kama ni baiskeli, bajaji, costa, yutong au SGR?
Huwa wanatafuta udhaifu wa mwanamke baadae anaigeuza fimbo ya kumchapia kila akizingua! Ujingaujinga tu!
 
Back
Top Bottom