Inawezekana akakuambia tu bila wewe kuwa na shauku ya kujua. Lakini kama lengo ni kujua kuanzia mwanzo mbinu rahisi ni kujifanya fvck boy. Wanawake wanakua huru zaidi kufunguka kwa fvck boys lakini kwa nice guys/church boys lazima wafiche makandokando yao.
Mfano uko makanisani, ni kawaida kukuta church boys wanafika mpaka miaka 23 hawajawahi kufanya sex. Lakini mabinti wa age zao kwenye kanisa ilo ilo miaka 19 tu hakuna ambaye ni bikira. Jiulize hawa mabinti wanagongwa na wakina nani, jibu ni hao play boys/fvck boys