Mambo ambayo ni siri yako tu mwanamke hupaswi kumwambia mchumba wako au mume wako

Mambo ambayo ni siri yako tu mwanamke hupaswi kumwambia mchumba wako au mume wako

kutaka kujua unapanda gari mbovu au bora ni ujinga? Ni kujihami na ajali za njiani
Mkuu,
Ukiwa na mpenzi wako kuna mambo mengi ya kuzungumza na kufanya.

Ila kuuliza mtu amelala na wanaume wangapi wakati umelala nae na umeona sio bikra ni ujinga, unategemea jibu gani?

Halafu ukitaka ufahamu mtu sahihi, huna sababu ya kuuliza, observe. Kipkndi cha courtship ni kipindi cha kuchunguza, ukiuliza hutajibiwa na hata ukijibiwa utadanganywa.

Wadada wa leo, wanaume wakipungua sana ni watano at the age of 30, sasa unauliza ili upate nini.
 
Kwenye maisha kuna vitu ambavyo hupaswi kumwambia mtu vinabaki kuwa siri yako siyo kwa ubaya ila unapovisema vinaleta machafuko

Kwako mwanamke kuna vitu ambavyo hupaswi kumwambia mme wako

1.mtu aliyekutoa ubikra chonde chonde usije kumtaja hata kama akikuuliza mwambie achana na hayo ebu njoo kwanza.

2.idadi ya wanaume uliofanya nao mapenzi kamwe usiwataje

3.usimwambie kiasi gani unampenda rafiki, mchungaji, shemeji, jirani, msanii wa kiume ety konde boy nampenda sana weee usithubutu utanishukuru ukizeeka

4.usije ukamlinganisha na mwanaume yeyote mbele yake mwambie baba wew ni bora kuliko wote

5.usimsifie mwanaume yeyote mbele yake
MATUNZO NGOJA NIPUMZIKE MAMA NANIII LETAA .......
No one comes out of this love game alive.
 
Keep that lonely ass sane, Nakwambiaje am not your fvcking customer. Hizo truntum za kukataliwa na ujuha wa kukosa attention waapelekee vikaragosi wenzio.

Unajua huna hoja alafu unajifanya skanka? Keep that mouth shut kwa watu real
Mlianzia wapi?

Hivi kuna uzi huwa unapita bila kijana wangu kuanzisha confrontation?
 
Mkuu,
Ukiwa na mpenzi wako kuna mambo mengi ya kuzungumza na kufanya.

Ila kuuliza mtu amelala na wanaume wangapi wakati umelala nae na umeona sio bikra ni ujinga, unategemea jibu gani?

Halafu ukitaka ufahamu mtu sahihi, huna sababu ya kuuliza, observe. Kipkndi cha courtship ni kipindi cha kuchunguza, ukiuliza hutajibiwa na hata ukijibiwa utadanganywa.

Wadada wa leo, wanaume wakipungua sana ni watano at the age of 30, sasa unauliza ili upate nini.
umenena kwel mkuu
 
You're lacking emotional intelligence..

Wazungu hujua hawawezi kucontrol mtu na matamanio yake, so wanaruka hizi game za kimatumbi za kuplay safe..

Ukiuliza hayo sio weakness, bali unakuwa unajua kitu gani ufanye uwe bora kwa mwenza wako...

Na yeye atajiongeza hawezi kusema direct utajua wewe na namna anavyojibu.

Nyie mmekaririshwa maisha ndo maana ndoa mnaishi kimaskini na kuogopana.
Kumbe ulianza mwenyewe kutema shombo. Lolote likukute.
 
Wangu alipigiwa simu na mchungaji wake wa TAG moshi huko anaposali alipunguza sauti nisisikie wanayoongea 🤔🤔🤔🤐🤐😔😔😔😌😌😌😌😌
 
Back
Top Bottom