Mambo ambayo ni siri yako tu mwanamke hupaswi kumwambia mchumba wako au mume wako

Kwenye maisha kuna vitu ambavyo hupaswi kumwambia mtu vinabaki kuwa siri yako siyo kwa ubaya ila unapovisema vinaleta machafuko

Kwako mwanamke kuna vitu ambavyo hupaswi kumwambia mme wako

1.mtu aliyekutoa ubikra chonde chonde usije kumtaja hata kama akikuuliza mwambie achana na hayo ebu njoo kwanza.

2.idadi ya wanaume uliofanya nao mapenzi kamwe usiwataje

3.usimwambie kiasi gani unampenda rafiki, mchungaji, shemeji, jirani, msanii wa kiume ety konde boy nampenda sana weee usithubutu utanishukuru ukizeeka

4.usije ukamlinganisha na mwanaume yeyote mbele yake mwambie baba wew ni bora kuliko wote

5.usimsifie mwanaume yeyote mbele yake
MATUNZO NGOJA NIPUMZIKE MAMA NANIII LETAA .......
Noted!
bado natafuta...
Cc. realMamy
 
Hapo tuko pamoja, haina maana yoyote. Hata ukiambiwa, utafanya nini?

Ni kitu kinawakosesha raha sana wanawake mwanaume akianza kuganda na kukomaa anataka kujua history kama ni baiskeli, bajaji, costa, yutong au SGR?
kila unapotaka kupanda usafiri lazima ujue ni wa aina gan
 
Kwenye maisha kuna vitu ambavyo hupaswi kumwambia mtu vinabaki kuwa siri yako siyo kwa ubaya ila unapovisema vinaleta machafuko

Kwako mwanamke kuna vitu ambavyo hupaswi kumwambia mme wako

1.mtu aliyekutoa ubikra chonde chonde usije kumtaja hata kama akikuuliza mwambie achana na hayo ebu njoo kwanza.

2.idadi ya wanaume uliofanya nao mapenzi kamwe usiwataje

3.usimwambie kiasi gani unampenda rafiki, mchungaji, shemeji, jirani, msanii wa kiume ety konde boy nampenda sana weee usithubutu utanishukuru ukizeeka

4.usije ukamlinganisha na mwanaume yeyote mbele yake mwambie baba wew ni bora kuliko wote

5.usimsifie mwanaume yeyote mbele yake
MATUNZO NGOJA NIPUMZIKE MAMA NANIII LETAA .......
😁😁😁Hapa ndo mda mwingine unaungana na wale wazee wakutaka kuoa bikra maana kuna baadhi ya mambo hapo yatatoweka yenyewe. Kila mwanamke anapicha kichwani ya mwanaume ambae angependa kuwa nae kwenye maisha yake.
 
Back
Top Bottom