Mambo ambayo ni siri yako tu mwanamke hupaswi kumwambia mchumba wako au mume wako

Mambo ambayo ni siri yako tu mwanamke hupaswi kumwambia mchumba wako au mume wako

WTH!
Kwani wazungu hawawezi kukosa akili timamu? Akili za kitumwa
You're lacking emotional intelligence..

Wazungu hujua hawawezi kucontrol mtu na matamanio yake, so wanaruka hizi game za kimatumbi za kuplay safe..

Ukiuliza hayo sio weakness, bali unakuwa unajua kitu gani ufanye uwe bora kwa mwenza wako...

Na yeye atajiongeza hawezi kusema direct utajua wewe na namna anavyojibu.

Nyie mmekaririshwa maisha ndo maana ndoa mnaishi kimaskini na kuogopana.
 
Nani kasema ukiuliza hayo ni weakness?

Hebu nitolee essay yako ya kipuuzi
 
Kwenye maisha kuna vitu ambavyo hupaswi kumwambia mtu vinabaki kuwa siri yako siyo kwa ubaya ila unapovisema vinaleta machafuko

Kwako mwanamke kuna vitu ambavyo hupaswi kumwambia mme wako

1.mtu aliyekutoa ubikra chonde chonde usije kumtaja hata kama akikuuliza mwambie achana na hayo ebu njoo kwanza.

2.idadi ya wanaume uliofanya nao mapenzi kamwe usiwataje

3.usimwambie kiasi gani unampenda rafiki, mchungaji, shemeji, jirani, msanii wa kiume ety konde boy nampenda sana weee usithubutu utanishukuru ukizeeka

4.usije ukamlinganisha na mwanaume yeyote mbele yake mwambie baba wew ni bora kuliko wote

5.usimsifie mwanaume yeyote mbele yake
MATUNZO NGOJA NIPUMZIKE MAMA NANIII LETAA .......
Mimi mume wangu was the first man na sijawahi kuwaza kumpa mtu mwengine tunda kwa umri huu nilio nao.
Kwa wengine ambo hamkuwa "bikra" mlijisikiaje jamaa walipoinhgia ikapenya yote bila kizuizi?'
 
Mimi mume wangu was the first man na sijawahi kuwaza kumpa mtu mwengine tunda kwa umri huu nilio nao.
Kwa wengine ambo hamkuwa "bikra" mlijisikiaje jamaa walipoinhgia ikapenya yote bila kizuizi?'
wew ni mfano wa kuigwa kwenye jamii
 
Back
Top Bottom