Mambo ambayo ni siri yako tu mwanamke hupaswi kumwambia mchumba wako au mume wako

1.mtu aliyekutoa ubikra chonde chonde usije kumtaja hata kama akikuuliza mwambie achana na hayo ebu njoo kwanza.
Aisee wanawake wangu wote hawajawahi kuwasahau aliyewatoa Bikra, yaani ktk hatua za mwanzo za mahusiano japo hawamtaji jina lakini kuna mahali wanasema Yule Mwanaume nikiwa Form three ndiye alinitoa Bikra au wakati nilipomaliza Shule

Yaani lazima waniambie hata kama sijawaukiza
 
huwa unajisikiaje unapoabiwa hivy?
 
mkuu huruma siyo malezi unaweza kumhurumia akipona tu analudi kule kule
Wenzetu wanapotia mtihani Sana, imagine Mwanaume unaenda kumsaundisha mwisho akubali aoiamini unapenda harafu ushamtoa Bikra umesema unadhani anafanya nini? Huyu no wa kuhurumia tu
 
Aah wapi,
Asipokwambia, akifanya siri maana yake bado anaendelea naye, bado wanazagamuana, KiMBIA chap.. afu utanishukuru baadaye
mapenzi sijawahi kuyaelewa akikwambia maana yake bado anamkumbuka asipo kwambia bado wananyegeshana xax kipi bora
 
Kwenye maisha kuna vitu ambavyo hupaswi kumwambia mtu vinabaki kuwa siri yako siyo kwa ubaya ila unapovisema vinaleta machafuko

Kwako mwanamke kuna vitu ambavyo hupaswi kumwambia mme wako

1.mtu aliyekutoa ubikra chonde chonde usije kumtaja hata kama akikuuliza mwambie achana na hayo ebu njoo kwanza.

2.idadi ya wanaume uliofanya nao mapenzi kamwe usiwataje

3.usimwambie kiasi gani unampenda rafiki, mchungaji, shemeji, jirani, msanii wa kiume ety konde boy nampenda sana weee usithubutu utanishukuru ukizeeka

4.usije ukamlinganisha na mwanaume yeyote mbele yake mwambie baba wew ni bora kuliko wote

5.usimsifie mwanaume yeyote mbele yake
MATUNZO NGOJA NIPUMZIKE MAMA NANIII LETAA .......
Namba 1 na 2 mwanamke anaweza kukuambia bila shida kabisa. Wengi tu niliowahi kuwa nao washaniambia. Mbinu ni rahisi sana. Mwanaume jifanye playboy/fvck boy.

Wanawake ni wajanja. Wanakupokea jinsi ulivyokuja. Ukimfuata kwa gia za church boy/nice guy na yeye anabehave kama church girl. Lakini ukimwingilia na gia ya fvck boy, naye anakua huru kukuweka wazi makandokando yake kwa sababu anajua nothing is serious.

Ndio maana church boys/nice guys huwa wanawekwa pending kwanza tofauti na hawa fvck boys wanapewaga game instantly. Ukitaka mwanamke awe huru kukuweka wazi makandokando yake jifanye fvck boy
 
Kwa hiyo ni *** boy? Mbona wote walinimbia bila kuwauliza just Tu ktk zile stori za hapa na pale. Including my present wives

hii nimeipenda ngoja niiapply nione matokeo
 
Kwa hiyo ni *** boy? Mbona wote walinimbia bila kuwauliza just Tu ktk zile stori za hapa na pale. Including my present wives
Inawezekana akakuambia tu bila wewe kuwa na shauku ya kujua. Lakini kama lengo ni kujua kuanzia mwanzo mbinu rahisi ni kujifanya fvck boy. Wanawake wanakua huru zaidi kufunguka kwa fvck boys lakini kwa nice guys/church boys lazima wafiche makandokando yao.

Mfano uko makanisani, ni kawaida kukuta church boys wanafika mpaka miaka 23 hawajawahi kufanya sex. Lakini mabinti wa age zao kwenye kanisa ilo ilo miaka 19 tu hakuna ambaye ni bikira. Jiulize hawa mabinti wanagongwa na wakina nani, jibu ni hao play boys/fvck boys
 
Back
Top Bottom