Matunzo 02
JF-Expert Member
- Jul 7, 2026
- 1,620
- 3,165
Hata wewe mama mchungaji !No one does that..
kwannScam games
Unaendeleaje bibie??Kwa mwenye akili timamu anawezaje kufanya hayo?
mm kuna binti ambaye nilimuacha kisa kufanya hayo unajikuta anakwambia wew matunzo unaupendo wa dhati fulan alinitumia akaniachaKwa mwenye akili timamu anawezaje kufanya hayo? Hata kwa mwanaume kufanya hayo kwa mwanamke wake nayo ni ajabu
Kwanza hiyo number 2 sijui mtu unaanzaje tuKwa mwenye akili timamu anawezaje kufanya hayo? Hata kwa mwanaume kufanya hayo kwa mwanamke wake nayo ni ajabu
Ameshakufa.Unaendeleaje bibie??
Zote naona hazimake sense kumwambia mpenzi 😁Kwanza hiyo number 2 sijui mtu unaanzaje tu
Naendelea vizuri mkuuUnaendeleaje bibie??
Hivi kweli baba mchungaji.. nikusimlie idadi.. how comes?Hata wewe mama mchungaji !
No one does that..
Hapo tuko pamoja, haina maana yoyote. Hata ukiambiwa, utafanya nini?Hivi kweli baba mchungaji.. nikusimlie idadi.. how comes?
Sijawashuhudia huwa naona wako mbiombio tu!Including hawa wa afu mbili?
Huwa wanatafuta udhaifu wa mwanamke baadae anaigeuza fimbo ya kumchapia kila akizingua! Ujingaujinga tu!Hapo tuko pamoja, haina maana yoyote. Hata ukiambiwa, utafanya nini?
Ni kitu kinawakosesha raha sana wanawake mwanaume akianza kuganda na kukomaa anataka kujua history kama ni baiskeli, bajaji, costa, yutong au SGR?
Inabidi wapatiwe semina elekeziSijawashuhudia huwa naona wako mbiombio tu!