Mambo ambayo ni uongo lakini yanajulikana ni kweli kwa wengi

Wewe naona nikuache maana hujui hata unajadili kitu gani
Siwezi kujadili. Na kama nilivyosema huko juu, hata Twitter hawawezi kubeba bandiko lako. Hawawezi kuacha lijadiliwe, sembuse kujadilika.

Sumu zako lazima zikukoroge.
 
N kweli uliyo yaongea inshort hakuna mungu
 
Kwa ufupi ni kuwa, miongozo au mafundisho ya dini ni uongo?
 

Pumba tu
 
Siwezi kujadili. Na kama nilivyosema huko juu, hata Twitter hawawezi kubeba bandiko lako. Hawawezi kuacha lijadiliwe, sembuse kujadilika.

Sumu zako lazima zikukoroge.

Ni Kwa sababu uelewa wako ni finyu ndio maana umewataja hao Twitter.
Kwani Twitter ni kina Nani, wao ni binadamu kama wewe. Wana terms na conditions zao kulingana na Akili na mitizamo Yao.
Haya humu JF ni vivyohivyo.
N kweli uliyo yaongea inshort hakuna mungu

Bado mapema kuhitimisha hakuna MUNGU ilhali hatujafika mwisho wa Hii safari iitwayo Maisha. Na hatujuo tupo stage Ipo katika safari hii
 
Bila hio namba 2 hutoboi
 
Bila hio namba 2 hutoboi

Mungu hata usipomuabudu unatoboa Mkuu.
Amini hivyo.
Mungu hahitaji umuabudu ATI ndio akupe utajiri au utoboe.

Wapo Watu ni washenzi, wahuni, hawatambui hata uwepo wa MUNGU lakini wametoboa.

MTU anatoboa Kwa sababu aliyemuumba alishampangia Maisha hayo. Na sio vinginevyo
 
Sahihi
 
Ukweli hauwezi kujulikana wala kusemwa maana hakuna neno linaweza define truth,ukweli ni illogical,vilivyobaki nje ya kweli ni illusion.life is a dream,wanadamu kuhangaika huku duniani ndo tunaita logic and has nothing to do with truth.
 
"Tuishi tu" ina maana kubwa
 
Kwani Twitter ni kina Nani, wao ni binadamu kama wewe. Wana terms na conditions zao kulingana na Akili na mitizamo Yao.
Haya humu JF ni vivyohivyo.
Kwa mantiki uliyotumia, na kijembe, ninavyo dadavua hapa, ni kuwa "Akili na mtizamo Yao" Ukimaanisha Viongozi hapa Jamiiforums huwajui??
Sawa. nitakubaliana na wewe kwani wengi hawawajui.
Hao hao waliokubeba begani na kukupaisha Jukwaani kuwa una umahiri fulani?? Huwajui ila wao wanajipendekeza kukujua kwa sumu zako kwa Jamii. Toba!

Kama nilivyo bandika huko juu, haufai hata kupigiwa kura.
Utajulikana tu.

Aluta Continua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…