Hayo ni ya wazungu.
Unatujazia uwongo.
Falsafa za Kimbari na za wazungu.
Mada kama hii haiwezi kubandikwa hata twitter.
Ulivyoandika ni vya kipuuzi puuzi ukiwa na lengo la kubadilisha mawazo na mtazamo wa kifalsafa za Mwafrika na binadamu kwa ujumla.
You are a poisonous fellow. Venomous to the mindset of people of this Universe let alone, your own white people. Wale wa Kanda maalum wamtizame huyu.
Vilevile....
Ni aibu kwa Jamiiforums kukuweka kwenye kura. Wewe haufai kabisa katika Jamii yeyote.
Ningekufungia.
Wikiendi Njema
Unaumwa wewe!
Mimi naongea uhalisia wewe unaleta mihemko yako.
Uafrika sio kuishi ndotoni.
Uafrika sio kufanya Watoto watumwa
Uafrika sio kuzaa hovyo Watoto kwa kutegemea Watoto watakuja kunisaidia.
Hizo ni dhana potofu.
Nitaendelea kusisitiza falsafa na dhana hizi kukomboa fikra za waafrika ambazo zimekuwa utumwani Kwa kipindi kirefu.
Kumtunza mzazi sio lazima, mahalo popote pale iwe duniani, mbinguni, mbugani au akhera.
Mimi sio wale wazazi ninaodanganya Watoto na kuwafanya wawe watumwa wa kifikra ATI nitumie hela nikubariki au nitumie Pesa Mimi Baba yako nikubariki.
Siwezi waambia Watoto wangu uongo kama huo.
Nitawaambia wafanye kazi Kwa bidii, Kwa Akili, wawe na uthubutu wa kufanya chochote ili mradi wasimdhuru yeyote. Watapata.
Mimi kama mzazi kazi yangu ni kuwapa Watoto moyo, kuwapa mbinu za kushinda katika Maisha Yao. Na sio kuhangaika kuwatishia na vitu vya uongouongo ili wanipe Pesa.
Hizo Akili hata wanyama wenyewe Hawana.
Mtoto akupe fedha Kwa upendo kama fadhila na sio akupe Pesa Kwa vitisho vya uongo kuwa atalaaniwa Jambo ambalo halipo au akupe fedha kama wajibu.
Nenda serikalini, njoo kwenye Dini, hakuna sheria kama hizo.
Ndio maana kuna mifuko ya kijamii kwaajili ya kuweka Akiba za uzeeni.
Ili ukiwa Mzee usisumbue Watu hasa kwenye ishu za kiuchumi.
Kuwa waafrika haimaanishi muwe wajinga.
Tangu umezaliwa uliwahi kusikia mtu kapelekwa Mahakamani kisa hajamsaidia Baba au Mama yake?