Mynd177
JF-Expert Member
- Dec 3, 2022
- 2,817
- 5,141
Mkuu naomba kueleweshwa juu za haya...Nina mambo kadhaa Nataka kujua kutoka kwako:
Unaelewa nini kuhusu baraka
Unaelewa nini kuhusu kufanikiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu naomba kueleweshwa juu za haya...Nina mambo kadhaa Nataka kujua kutoka kwako:
Unaelewa nini kuhusu baraka
Unaelewa nini kuhusu kufanikiwa
Una akili fupi sana,kwani akisema yeye ndio ukweli mtupu mpaka kumpa mamlaka hayo ?Hii mada ya Leo ni msumali wa moto
Unaunguza nafsi, moyo mpaka akili
Piga na upande wa pili wavaa kobaz
Piga na upande Marasi
Piga na upande wa nne wapagani
Piga na upande wa Tano wasioamini kwamba Kuna Mungu na Miungu
Piga upande wanaoamini dini zao za jadi
Sawa mkuuKwa sababu dini ndio inamambo mengi ya uongo yaliyoingizwa na wahuni
YESU Ni Mungu Ila una uhuru wa kutokuamin sio Mungu sababu wewe sio wa kwanza kuamini sio MunguYesu ni Mungu,
Wakati huohuo Yesu ni mwana wa Mungu
=>UONGO
Movie zina waharibu vijana, wazee wenu wamejinyima wakawasomesha leo mnawaita wavivuNawafundisha Vijana wajifunze vyema, na kujiwekea Akiba ili wasijekuwa wategemezi hapo baadaye.
Hiyo ndio falsafa ninayowapa Vijana wa kileo.
Mzazi kuishi Maisha ya dhiki haina mahusiano yoyote na mtoto wake.
Dunia pekee viumbe vinazaliwa, YESU alizaliwa dunia na sio mbinguniYesu alipalizwa Mbinguni - uwongo
Ndo maana nikamuambia yeye ni mtoto hajui maisha huwez kuwa na utimamu wa akili ukasupport baadhi ya mleta uzi alichoandika, mzazi unamtawaza mtoto unampigania tokea mdogo hapo hajui chochote, unajinyima ili asome vizuri, Leo mtoto amekua unawaita wazazi wako wavivu jamaa simjui Ila kwa uzi huu nimemdarauMovie zina waharibu vijana, wazee wenu wamejinyima wakawasomesha leo mnawaita wavivu
Kwa hoja yako masikini wasingekuwepo duniani.Kwa waislamu hakuna zaka anayopewa sheikh kwa ajili ya huduma, tafadhali usiseme kitu usichokijua.
Zaka ni sehemu ya mali yako unayotoa kama shukrani kwa Mungu wako na inatumika kwa ajili ya kuwasaidia wale masikini wasiojiweza.
Kwani wangapi huwa wanatoa hiyo zaka kama inavyotakiwa? Anzia hapo.Kwa hoja yako masikini wasingekuwepo duniani.
By the way kwani huyo Sheikh wako hataki maisha mazuri??
Yesu ni Mungu,
Wakati huohuo Yesu ni mwana wa Mungu
=>UONGO
Labda ndio ile "like a father like a son"Yesu ni Mungu,
Wakati huohuo Yesu ni mwana wa Mungu
=>UONGO
We si ushakubuhu!?!! ..umeumia mpaka umekua sugu yani.Hiyo ya mapenzi kuumiza labda kwako tu babu
Nashukuru MkuuUna akili fupi sana,kwani akisema yeye ndio ukweli mtupu mpaka kumpa mamlaka hayo ?
Ni jukumu la mzazi kujiandalia maisha yake ya uzeeni.Ndo maana nikamuambia yeye ni mtoto hajui maisha huwez kuwa na utimamu wa akili ukasupport baadhi ya mleta uzi alichoandika, mzazi unamtawaza mtoto unampigania tokea mdogo hapo hajui chochote, unajinyima ili asome vizuri, Leo mtoto amekua unawaita wazazi wako wavivu jamaa simjui Ila kwa uzi huu nimemdarau
Sawa ,mimi nimesema hivyo kutokana kuna baadhi ya watu wana tabia ya kuwaIdolize watu fulani kuwa neno lao ndio sheria, hawakosei na wanaakili sana kuliko wengine.Mimi pigo hizo nimeshaacha kitambo sana.Nashukuru Mkuu
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hakuna neno lisilotoka kinywani mwa kiumbe aitwaye Mwanadamu na lenye kuntu maana likaachwa kuwa appreciated na watu wenye upeo waerevu 10:2
Namba 3Anaandika Robert Heriel.
Leo tutajadili ishu ya UONGO dhidi ya UKWELI.
Katika Mantiki/Logic Ipo Hivi;
Ukweli + Ukweli = Ukweli
Ukweli + Uongo = Uongo
Uongo + Uongo = Uongo
Uongo + Uongo = Uongo
Mara nyingi ukweli hujulikana zaidi kwenye matokeo/mwisho wa Jambo au muda.
Ukweli huwaga hauna Pande mbili. Yaani ukweli hautegemei mtazamo au Maoni ya MTU. Ukweli NI ukweli.
Ngoja nikupe mifano ya UKWELI
i. Moto unaunguza - KWELI
Hii hahitaji mjadala, Watu wote na viumbe wote hujua Moto unaunguza. Yaani hata kichaa anajua ukweli huo.
ii. Mapenzi yanaumiza - KWELI
Watu wote Duniani na viumbe vyote Duniani vinajua mapenzi yanaumiza.
Yafuatayo ni mambo ya UONGO AMBAYO watu wengi hujua NI ukweli.
1. Laana na Baraka - UONGO
Unaambiwa ukifanya hivi utalaaniwa au ukifanya hivi utabarikiwa. Huo ni Uongo.
Nitakupa mfano, Kwenye dini unafundishwa Fanya kazi Kwa nguvu na bidii ili ubarikiwe. Lakini unakuja kugundua wapo wanaofanya kazi hawafanikiwi, na wapo wasiofanya kazi wanafanikiwa. Mantiki ya Jambo hili ni Uongo.
Au unaambiwa kuna Laana ya Wazazi, lakini unakuja kuona wapo wanasiowaheshimu wazazi wao lakini wanaishi Kwa furaha na Maisha ya mafanikio, muda huohuo kuna wanaowaheshimu wazazi wao lakini wanateseka. Mwisho unahitimisha ni UONGO hakuna kitu kama hicho.
Ukweli NI huu; kila MTU au kiumbe kimeshaupangiwa nini kitafanya katika Maisha yake. Chochote ukifanyacho kipo katika Akili ya mtunzi aliyekubuni.
2. Kumwabudu Mungu ndio kufanikiwa - UONGO
Wapo wasiomuabudu Mungu na wamefanikiwa.
3. Yesu alikufa ili kutukomboa - UONGO
Dhana ya kusema bila ya Yesu Watu hawawezi kumuona Mungu ni UONGO kwasababu wapo ambao tayari walikuona huyo MUNGU hata Kabla ya Yesu kufa. Kimantiki hiyo stori ni ya uongo Kwa sababu tayari inapande mbili.
4. Kifo kililetwa na dhambi ya kula tunda pale Edeni - UONGO
Kwa sababu wapo viumbe ambao hawakula lile tunda na wanakufa. Wanyama, ndege na samaki, na mimea inakufa licha ya kuwa haikula lile tunda.
Kifo NI mfumo wa Maisha Kwa mwanadamu. Hakina mahusiano na masuala ya maadili.
5. Kutoa zaka unapata thawabu kutoka Kwa Mungu - UONGO
Ni uongo Kwa sababu wapo ambao hawatoi zaka lakini wamefanikiwa. Viongozi wa dini wasiseme Uongo katika hili, muulize kiongozi wako mbona kuna Watu hawatoi zaka na wanamaisha mazuri kuliko wanaotoa?
Kwa kifupi zaka ni malipo unayompa mchungaji au Sheikhe au kiongozi yeyote wa Kiroho mara baada ya kupokea Huduma Fulani. Kama huna Huduma yoyote uipatayo kwenye mambo ya Kiroho hautakiwi kutoa zaka.
Ukienda kanisani au msikitini lazima utoe zaka kwani unaenda kupata Huduma hizo.
Ngoja ninywe maji kisha narudi kupendele.
Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Dar es Salaam.