Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa waislamu hakuna zaka anayopewa sheikh kwa ajili ya huduma, tafadhali usiseme kitu usichokijua.Kwa kifupi zaka ni malipo unayompa mchungaji au Sheikhe au kiongozi yeyote wa Kiroho mara baada ya kupokea Huduma Fulani. Kama huna Huduma yoyote uipatayo kwenye mambo ya Kiroho hautakiwi kutoa zaka.
Ukienda kanisani au msikitini lazima utoe zaka kwani unaenda kupata Huduma hizo.
iyo namba 3 hapo subiri povu
Mpumbavu amesema moyoni mwake "Hakuna Mungu ".....naogopa ROBERT HERIEL asije kuwa mmoja waoAnaandika Robert Heriel.
Leo tutajadili ishu ya UONGO dhidi ya UKWELI.
Katika Mantiki/Logic Ipo Hivi;
Ukweli + Ukweli = Ukweli
Ukweli + Uongo = Uongo
Uongo + Uongo = Uongo
Uongo + Uongo = Uongo
Mara nyingi ukweli hujulikana zaidi kwenye matokeo/mwisho wa Jambo au muda.
Ukweli huwaga hauna Pande mbili. Yaani ukweli hautegemei mtazamo au Maoni ya MTU. Ukweli NI ukweli.
Ngoja nikupe mifano ya UKWELI
i. Moto unaunguza - KWELI
Hii hahitaji mjadala, Watu wote na viumbe wote hujua Moto unaunguza. Yaani hata kichaa anajua ukweli huo.
ii. Mapenzi yanaumiza - KWELI
Watu wote Duniani na viumbe vyote Duniani vinajua mapenzi yanaumiza.
Yafuatayo ni mambo ya UONGO AMBAYO watu wengi hujua NI ukweli.
1. Laana na Baraka - UONGO
Unaambiwa ukifanya hivi utalaaniwa au ukifanya hivi utabarikiwa. Huo ni Uongo.
Nitakupa mfano, Kwenye dini unafundishwa Fanya kazi Kwa nguvu na bidii ili ubarikiwe. Lakini unakuja kugundua wapo wanaofanya kazi hawafanikiwi, na wapo wasiofanya kazi wanafanikiwa. Mantiki ya Jambo hili ni Uongo.
Au unaambiwa kuna Laana ya Wazazi, lakini unakuja kuona wapo wanasiowaheshimu wazazi wao lakini wanaishi Kwa furaha na Maisha ya mafanikio, muda huohuo kuna wanaowaheshimu wazazi wao lakini wanateseka. Mwisho unahitimisha ni UONGO hakuna kitu kama hicho.
Ukweli NI huu; kila MTU au kiumbe kimeshaupangiwa nini kitafanya katika Maisha yake. Chochote ukifanyacho kipo katika Akili ya mtunzi aliyekubuni.
2. Kumwabudu Mungu ndio kufanikiwa - UONGO
Wapo wasiomuabudu Mungu na wamefanikiwa.
3. Yesu alikufa ili kutukomboa - UONGO
Dhana ya kusema bila ya Yesu Watu hawawezi kumuona Mungu ni UONGO kwasababu wapo ambao tayari walikuona huyo MUNGU hata Kabla ya Yesu kufa. Kimantiki hiyo stori ni ya uongo Kwa sababu tayari inapande mbili.
4. Kifo kililetwa na dhambi ya kula tunda pale Edeni - UONGO
Kwa sababu wapo viumbe ambao hawakula lile tunda na wanakufa. Wanyama, ndege na samaki, na mimea inakufa licha ya kuwa haikula lile tunda.
Kifo NI mfumo wa Maisha Kwa mwanadamu. Hakina mahusiano na masuala ya maadili.
5. Kutoa zaka unapata thawabu kutoka Kwa Mungu - UONGO
Ni uongo Kwa sababu wapo ambao hawatoi zaka lakini wamefanikiwa. Viongozi wa dini wasiseme Uongo katika hili, muulize kiongozi wako mbona kuna Watu hawatoi zaka na wanamaisha mazuri kuliko wanaotoa?
Kwa kifupi zaka ni malipo unayompa mchungaji au Sheikhe au kiongozi yeyote wa Kiroho mara baada ya kupokea Huduma Fulani. Kama huna Huduma yoyote uipatayo kwenye mambo ya Kiroho hautakiwi kutoa zaka.
Ukienda kanisani au msikitini lazima utoe zaka kwani unaenda kupata Huduma hizo.
Ngoja ninywe maji kisha narudi kupendele.
Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Dar es Salaam.
Kwa waislamu hakuna zaka anayopewa sheikh kwa ajili ya huduma, tafadhali usiseme kitu usichokijua.
Zaka ni sehemu ya mali yako unayotoa kama shukrani kwa Mungu wako na inatumika kwa ajili ya kuwasaidia wale masikini wasiojiweza.
Mpumbavu amesema moyoni mwake "Hakuna Mungu ".....naogopa ROBERT HERIEL asije kuwa mmoja wao
Mara Mkulima, mara Msomi, mara taikun wa falsaha, mara mzungu, mara mcheza karate, mara mwalimu wa silaha, mara mzee, mara kijana mara sijui
nn Ukweli+ uwongo ni Uwongo.
Tutajua tu.
na sibishi vyote
Unatumia "logic " kuchambua, Masuala ya Imani! Kwamba ni lazima imake sense kwako ndipo ujue kwamba ni ukweli?Hakuna sehemu nimesema hakuna MUNGU.
Huna ujualo juha wewe
Wewe bado ni kijana mdogo sana kutoa majibu kwa hoja nzito kama hizo tulia kwanza upate experience ya maisha.
Alafu nenda kasome nyaraka zote za mtume paulo ujifunze kitu.
Amani iwe nawe.
Akili zake hazichunguziki!!! Mawazo yangu si mawazo yenu, wala njia zangu si kama njia zenuSawasawa.
Hoja za Paulo kuu zinafahamika.
Mimi nilichoeleza hapo ni somo Dogo la Logic kwenyee vipengele vya Ubongo na Ukweli.
Unatumia "logic " kuchambua, Masuala ya Imani! Kwamba ni lazima imake sense kwako ndipo ujue kwamba ni ukweli?
Akili zake hazichunguziki!!! Mawazo yangu si mawazo yenu, wala njia zangu si kama njia zenu
Huu utafiti wako wa: "mapenzi yanaumiza-KWELI", haujakamilika na umeegemea upande mmoja.Anaandika Robert Heriel.
Leo tutajadili ishu ya UONGO dhidi ya UKWELI.
Katika Mantiki/Logic Ipo Hivi;
Ukweli + Ukweli = Ukweli
Ukweli + Uongo = Uongo
Uongo + Uongo = Uongo
Uongo + Uongo = Uongo
Mara nyingi ukweli hujulikana zaidi kwenye matokeo/mwisho wa Jambo au muda.
Ukweli huwaga hauna Pande mbili. Yaani ukweli hautegemei mtazamo au Maoni ya MTU. Ukweli NI ukweli.
Ngoja nikupe mifano ya UKWELI
i. Moto unaunguza - KWELI
Hii hahitaji mjadala, Watu wote na viumbe wote hujua Moto unaunguza. Yaani hata kichaa anajua ukweli huo.
ii. Mapenzi yanaumiza - KWELI
Watu wote Duniani na viumbe vyote Duniani vinajua mapenzi yanaumiza.
Yafuatayo ni mambo ya UONGO AMBAYO watu wengi hujua NI ukweli.
1. Laana na Baraka - UONGO
Unaambiwa ukifanya hivi utalaaniwa au ukifanya hivi utabarikiwa. Huo ni Uongo.
Nitakupa mfano, Kwenye dini unafundishwa Fanya kazi Kwa nguvu na bidii ili ubarikiwe. Lakini unakuja kugundua wapo wanaofanya kazi hawafanikiwi, na wapo wasiofanya kazi wanafanikiwa. Mantiki ya Jambo hili ni Uongo.
Au unaambiwa kuna Laana ya Wazazi, lakini unakuja kuona wapo wanasiowaheshimu wazazi wao lakini wanaishi Kwa furaha na Maisha ya mafanikio, muda huohuo kuna wanaowaheshimu wazazi wao lakini wanateseka. Mwisho unahitimisha ni UONGO hakuna kitu kama hicho.
Ukweli NI huu; kila MTU au kiumbe kimeshaupangiwa nini kitafanya katika Maisha yake. Chochote ukifanyacho kipo katika Akili ya mtunzi aliyekubuni.
2. Kumwabudu Mungu ndio kufanikiwa - UONGO
Wapo wasiomuabudu Mungu na wamefanikiwa.
3. Yesu alikufa ili kutukomboa - UONGO
Dhana ya kusema bila ya Yesu Watu hawawezi kumuona Mungu ni UONGO kwasababu wapo ambao tayari walikuona huyo MUNGU hata Kabla ya Yesu kufa. Kimantiki hiyo stori ni ya uongo Kwa sababu tayari inapande mbili.
4. Kifo kililetwa na dhambi ya kula tunda pale Edeni - UONGO
Kwa sababu wapo viumbe ambao hawakula lile tunda na wanakufa. Wanyama, ndege na samaki, na mimea inakufa licha ya kuwa haikula lile tunda.
Kifo NI mfumo wa Maisha Kwa mwanadamu. Hakina mahusiano na masuala ya maadili.
5. Kutoa zaka unapata thawabu kutoka Kwa Mungu - UONGO
Ni uongo Kwa sababu wapo ambao hawatoi zaka lakini wamefanikiwa. Viongozi wa dini wasiseme Uongo katika hili, muulize kiongozi wako mbona kuna Watu hawatoi zaka na wanamaisha mazuri kuliko wanaotoa?
Kwa kifupi zaka ni malipo unayompa mchungaji au Sheikhe au kiongozi yeyote wa Kiroho mara baada ya kupokea Huduma Fulani. Kama huna Huduma yoyote uipatayo kwenye mambo ya Kiroho hautakiwi kutoa zaka.
Ukienda kanisani au msikitini lazima utoe zaka kwani unaenda kupata Huduma hizo.
Ngoja ninywe maji kisha narudi kupendele.
Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Dar es Salaam.
3. Kuhusu namba 3
Kristo= upendo usio na mipaka ( un conditional love )
Bila kuwa na roho ya upendo usio na mipaka huwezi kumuoma Mungu KWA sababu Mungu ni roho ya upendo usio na mipaka . Ndivyo nilivyo elewa mimi
Huu utafiti wako wa: "mapenzi yanaumiza-KWELI", haujakamilika na umeegemea upande mmoja.
Haujui kuwa mapenzi yana run dunia, mapenzi ni anasa na yanaleta furaha, hilo haulijui na halipo?
Nina mambo kadhaa Nataka kujua kutoka kwako:
Unaelewa nini kuhusu baraka
Unaelewa nini kuhusu kufanikiwa