Mambo ambayo ni uongo lakini yanajulikana ni kweli kwa wengi

Ulishampata David Mjanja uliyekuwa ukimtafuta???
 
Kitu chengine ambacho ni UONGO mtupu ni pale tunaposhauriwa eti tuoe ili tupate watoto watakaotusaidia uzeeni. Huu ni uongo mkubwa! Mtu unaoa, unazaa watoto 12, wakiwa wakubwa wanajenga na kuishi kwenye familia zao na wake zao wanawaacha wazee ama wanasaidiwa na jamii au house girls/boys. Msidanganyike ndugu zangu. Umuhimu wa kuoa ni kufaidi ngono ya karibu ambayo siku hz unaweza kuipata mahali popote, tena kwa bei rahisi sana. Kuoa hakuna maana yoyote zaidi ya kujiongea stress za maisha, hasa pale unapooa kurubembe!
 
Kuanza kufanya mjadala na athiest ni kupoteza muda
Ndio maana nimemwambia tayari kakoaa hoja
Wewe ndio huna Hoja za kuwajibu Atheist.

Dini zenu na imani zenu haziwezi kujibu maswali magumu kama haya..

Zinabaki kuwatengenezea Hofu za kijinga kwamba msipo amini mtakuja chomwa moto ...



Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Huna ujualo juha wewe
Wewe bado ni kijana mdogo sana kutoa majibu kwa hoja nzito kama hizo tulia kwanza upate experience ya maisha.

Alafu nenda kasome nyaraka zote za mtume paulo ujifunze kitu.

Amani iwe nawe.
Wewe unajua nini?

Hizo hoja za mtume paulo zilete hapa, sio unakosoa wengine na wewe mwenyewe huna hoja zaidi ya makasiriko yako!

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Nashukuru Sana kwa kadri siku zinavyoenda kuna siri kuhusu Dini na Iman zinaanza kuwekwa wazi!!!

Dini zinaendelea kuwaumiza wengi KWA kuvumilia ujinga FULANI MAISHANI kumbe mipango ya watu kuwarubuni na kuwachuma wengine!!!
 
Namba 1 umechochora bro,,hapa hata atheists wanalitambua hili,,, wavunjie heshima wazazi kama amri ya MUNGU Inavyotuamrisha then wakutamkie laana,,,utaona kama utaifurahia hii dunia,,,utakuwa kama mbwa wa kutupwa.
 
LOGIC & ELECTRIC NETWORK pure mathematic,Backhouse!
Unanikumbusha life la advance t otherwise andiko lako Lina "CONTRADICTION"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…