Mambo ambayo sikuwa nayafahamu kuhusu Israel kabla ya "Gaza war"!

Muisrael mwenye miaka 5 uwezo wake wa akili anamzidi Mtanzania mwenye miaka 40 na Wapalestina ni hivyo hivyo

Wenzenu mambo ya umri siyo kigezo tena!
sawa scientist mweusi wakiisrael...huo utafiti wako kuhusu ulichokiandika bila shaka uliufanyia gongo la mboto kwa mama zai
 

Ndugu toughlendon:

Mkuu nimerudia tena na tena, Gaza ilirudishwa mikononi mwa Wapalestina 22 Septembar 2005, kumbuka hata wakawa na serikali hao hata wakafanya uchaguzi na kuchukua Madaraka June 14, 2007, na Mwenyekiti wa PLO Mahmoud Abbas akaikataa serikali inayoongozwa na kundi la Hamas na kumchagua Salam Fayyad kama Waziri mkuu.
Hivyo ndugu yangu baada ya Hamas kuchukua madaraka Gaza, baada kushughulikia maswala ya Maendeleo, serikali na nguvu zake zote ziliwekeza kurusha roketi, kuchimba Mahandaki nk! Hizo blocked baada kuingiza vifaa vya ujenzi, nk ikawa njia yakuingiza silaha, hii ikaaipa mkono Israel kuwa inaingia mara kwa mara kuleta disruption.
Hamas toka wachukue Gaza hawajatulia, wao mchana usiku ni kuwaza kuondoa Israel.....Hiyo ndio tabu mkuu.
 
Okay, ila niseme kitu kinoja katika watu woote wanaotetea Israeli at least wewe una reasoning nzuri isoingiza mambo ya dini, good work, wengi wanaoona palestina anakosea wanakuja na mambo ya dini wamesimuliwa kanisani na msikitini hilo swala mimi nimekuwa nalikwepa every now and then na wanahusisha dini wanadhan inahusisha uislam na ukristo wakati wayahudi sio wa kristo. Anyways you have got details, KUDOS.
 

Mkuu, nashukuru kwa sehemu kukubaliana na kutokubaliana. Lakini Mkuu umeona mahali popote nimeingiza Dini? Nimekupa facts ambazo hazikataliki, Hamas is religous organization, hilo halipingiki. Nimekupa narrative yangu, angalau kuanzia 1947, na wewe umeleta ramani za mgao wa UN hapo mahali, nimeandika angalau matukio ya Vita ambayo yamefanya expansion ya Wayahudi.

Ni kweli mkuu, lazima uwe na huruma tunachoona kinatokea Gaza na Israel pia! Mtu mwenye akili timamu huwezi kushabikia mauji yoyote yale, Middle East especially swala la Waarabu na Wapelestina ni complex mno! Lina dini, lina historia, lina interests za mataifa ya nje, Waarabu na Marekani, sio leo from Second World 2. Ukichanganya hayo yote, ni vigumu kulitatua.

Kumbuka kuna mikutano mingi mno ya kimataifa imeshindwa! Hata Waarabu wenyewe kuna mahali wanatofautiana kabisa, in actually sense kuna ushahidi huwa wanauza siri za Palestine Kwa Israel...Ni confusion tupu mkuu!

Mimi mtazamo wangu ni kuwa Wote Waarabu na Wayahudi wana historical attachment hapo! Hilo halipingiki! Dini zao Islam na Judaism zina mambo kwa sehemu zinashabikiana, ingawa tena radically zinatofautiana kabisa, akili za Mwarabu ziko radically different, Mwarabu anaongozwa kwa Jazba, Myahudi anakaa na kutakari (Mtazamo wangu) Hii inachangai mno katika kutatua ugomvi huo.

Hivyo let me pause here kwenye hii Mada, labda tuone hii cease fire italeta nini. Thanks to engage with you.
 
Eti iwe hongkong,wakati Gaza iko under Israel control kitambo!yaani Israel anaamua nini kiende Gaza!Hata miundombinu anawapangia,mfano amezuia hakuna kujengwa uwanja wa ndege Gaza!
Hayo ndio maisha kweli?
 
Haya muisrael wa buza kwa mpalange
 
cassavaleaves ungepitia hiyo video,ungeongeza kitu kwenye mengi unayoyajua!
 
Thanks mkuu, unajua hii platform ni nzuri watu wako free sana kujieleza na kutoa maoni na hii ni kwasababu ya anonymity, sasa basi ni rahis sana kumjua mtu anaeweza kujenga hoja, anaechangia kwa jazba na aliesimuliwa yeye kaja kujisemea hovyo hovyo. Huku jf sio lazima uwaambie watu umesoma ndio tujue umesoma sababu uko free kusema lolote utakaposema tu tutajua huyu mtu hajasoma na hata kama alisoma basi hakuelimika, wenye busara tunawajua tu kwa maandishi yao, kina gigy money tunawaona humu lakin tunakausha yan ni tafrani mkuu

huku jf nimejifunza mambo mengi sana, and of-course mengi yamenijenga sababu the negative stufs huwa naweka pembeni, sideal nazo kabisaa, asante sana mkuu.
Pamoja sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…