Mambo ambayo sikuwa nayafahamu kuhusu Israel kabla ya "Gaza war"!

cassavaleaves ungepitia hiyo video,ungeongeza kitu kwenye mengi unayoyajua!

Nikipata muda Mkuu, Maana ukiingia Youtube na Tiktok kila mtu ana narrative yake, hivyo sipendi mno kutumia naarratives za wengine kujenga hoja! Huwa naangalia sana, then I make my own independent judgment....
 
Hivi kule Syria walifanwaje watoto kwa usimamizi wa Rusia au unajifanya hujui na.hakuna.taifa lolote la kiislam lilisema kitu!
 
Baba umeweka chumvi nyingi chakula hakiliki
 
Hii vita imesababisha bendera za mashoga zisionekane tena
Wazungu na mbinu za kuibadilisha Israel nchi ya mashoga walifanikiwa kwa asilimia kubwa, na wanaounga mkono ushoga Israel ni 60% hizi ni takwimu zao wenyewe sio mimi
Kuna mtu alisema ukichukua kopo ukawaweka siafu weusi na wekundu pamoja watatulia kwa amani ila ukitikisa kopo kwa nguvu kila mmoja ataona mwenzie ndio mchokozi na wataanza kupigana
Hapo naona mmeelewa nani alietikisa kopo

Hata ushoga wameusahau kwa mda
 
Joe biden anaongea live muda huu

Key notes:
Innocent palestinians
Humanitarian aid
Extension of ceasefire deal
Two state solution
 
Huyu mzee bado mwaka mmoja ofisini kabla ya uchaguzi, sjajua kama anamaanisha au anajipigia pande
Joe biden anaongea live muda huu

Key notes:
Innocent palestinians
Humanitarian aid
Extension of ceasefire deal
Two state solution
 
Hii ndo mnadanganwa na wachungaji kobweteere .history haijawahi kudanganya

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Hapa sawa , kikubwa solution ipatikane, ukipata muda sikiliza speech ya biden ya leo (japo huyu mzee uchaguzi inakaribia ila kaanza kua soft ni matumaini)
 
Hapa umepuyanga
Mkuu ulitaka mtazamo wangu uwe sawa na mtazamo wako? Mbona Jamii Forum ingepwaya hata...That is my perspective.....we see things differently, Ndio Maana kuna vita hii, Mwarabu (Mpalestine) Kila upande una narrative yake!
Hutakiwi kukubaliana na mwazo yangu mkuu.
 
Kumekucha mkuu, acha nifute comment
 
Hivi kule Syria walifanwaje watoto kwa usimamizi wa Rusia au unajifanya hujui na.hakuna.taifa lolote la kiislam lilisema kitu!
Umeelewa mada lakini?Maana naona uko nje kabisa!
 
Na wewe kuwa kama Israel hupangiwi wala huzuiwi Israel ni nchi huru na wewe ni nchi huru, so fanya mambo yako kivyako 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwenye hii vita pamoja na ukatoliki wangu lakini naungana na katibu mkuu wa umoja wa mataifa aliyesema anacho fanya Israel ni genocide
 

Wewe huijui mgogoro wa Israel na parestina , hoja yako haitofautiani na wafia dini wa kiislam, na wewe ni mfia dini wa kilokole kaeni pembeni watu waiadili Kwa hoja na sio mihemuko ya kimani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…