Ni land ya nani mkuu....unaweza kutupa Historia yake....angalau kiduchu....!
Katibu mkuu wa baraza la umoja wa mataifa juz juz tu hapa, alisema hiv haya ambayo wameyafanya Hamas pamoja na ubaya wao kuua raia na nini, sio mambo ambayo yamejitokeza tu yana historia yake, baloz wa israel umoja wa mataifa kamwambia ajiuzuru, akamtukana sana.
Kinachotokea gaza leo kina historia yake na historia yake ina zaid ya miaka sabin, inaanzia 1948, taifa la israel lilipo anzishwa kwenye ardi za waarabu ambao kwa asilimia kubwa huwa ni waislam, taifa la Israel limeanzishwa kwenye ardhi za Wapalestina, kwa kuwafukuza Wapalestina kwenye maeneo yao na kuwafanya wakimbizi, Misri, Lebanon, Jordan ambao hawakukimbia hawakukimbia walipelekwa Gaza na wengine wamepelekwa ukingo wa magharibi wa mto jordan, kwa ambao hawajui Gaza ni gereza au wanasemaga ni consetration camp, Kama zile za wayahud wakat wa hitler, kila kitu kinadhibitiwa na Israel, chakula, maji hayaingii bila Israel kuruhusu, na wamechukua maeneo yote ya West Bank huko na barabarani kuna road block za wanajesh wa Israel hasa jaman huo si ni uonev, haya wanayofanya ISRAEL yangefanywa UKRAINE, wazungu wangeita GENOCIDE,
Hata wewe kwa hali hiyo ungekubali ? Ndio mana kila siku wanagombana na kupelekea wao kutunga hizo sheria zao za kipuuz, me siwatetei hamasi ila LAND NI YA WAPALESTINA