Mambo ambayo sikuwa nayafahamu kuhusu Israel kabla ya "Gaza war"!

Mambo ambayo sikuwa nayafahamu kuhusu Israel kabla ya "Gaza war"!

Unyama unaotendeka nyuma ya pazia kwa mataifa mengi ni siri na ni makubwa zaidi ya hayo. Hayo mbona simple tu.
Uliza zaidi ujue habari za mfalme wa Saudi Arabia. Uliza habari za mfalme wa jodan.
2. Hiyo ya kuweka maiti za wafungwa ni sehemu za vitisho kwa wengine wasijaribu kuendeleza uovu wanautarajia.
 
Okay hata hao Mateka walipelekwa Gaza na Israel.....na Hamas wakiwa mazuzu wakawapokea...na baada ya kubondwa wakawarudisha.....that was a smart move...!!!
PUnguza jazba mzee, october 7 hakuna mtoto aliyechomwa moto wala wanawake waliobakwa, Israel imeshindwa prove hii claim wewe ndo utaweza ? Na wote tupo bongo hapa?
 
PUnguza jazba mzee, october 7 hakuna mtoto aliyechomwa moto wala wanawake waliobakwa, Israel imeshindwa prove hii claim wewe ndo utaweza ? Na wote tupo bongo hapa?

Punguza mapenzi ya Kizuzu......Kiongozi wa Hamas kasema watarudia tena na tena.....unasemaje....naye kanunuliwa na Israel....?
 
PUnguza jazba mzee, october 7 hakuna mtoto aliyechomwa moto wala wanawake waliobakwa, Israel imeshindwa prove hii claim wewe ndo utaweza ? Na wote tupo bongo hapa?

Wewe unajua kuliko Ghazi Hamad? .....

A senior member of Hamas has hailed the systematic slaughter of civilians in Israel on October 7, vowing in an interview that if given the chance, the Palestinian terror group will repeat similar assaults many times in the future until Israel is exterminated.

The remarks by Ghazi Hamad, a member of Hamas’s political bureau, were swiftly shared online by Israeli and Western officials as a vindication of the Jewish state’s resolve to destroy the terror group’s military capabilities in its ongoing war in Gaza, and as proof that no ceasefire can be reached until the threat of additional murderous attacks is removed.

“Israel is a country that has no place on our land,” Hamad said in an interview with Lebanese TV channel LBC on October 24, which was translated and published Wednesday by the Middle East Media Research Institute (MEMRI). “We must remove it because it constitutes a security, military and political catastrophe to the Arab and Islamic nation. We are not ashamed to say this.”
 
True....they are losing since 1948........the only option wamebakiwa nayo ni Terrorism.......!!!
Sasa mzee ukisema hivi israel before 1948 alikua na hali gani? Nayeye imepita miaka mingapi?
 
Wewe unajua kuliko Ghazi Hamad? .....

A senior member of Hamas has hailed the systematic slaughter of civilians in Israel on October 7, vowing in an interview that if given the chance, the Palestinian terror group will repeat similar assaults many times in the future until Israel is exterminated.

The remarks by Ghazi Hamad, a member of Hamas’s political bureau, were swiftly shared online by Israeli and Western officials as a vindication of the Jewish state’s resolve to destroy the terror group’s military capabilities in its ongoing war in Gaza, and as proof that no ceasefire can be reached until the threat of additional murderous attacks is removed.

“Israel is a country that has no place on our land,” Hamad said in an interview with Lebanese TV channel LBC on October 24, which was translated and published Wednesday by the Middle East Media Research Institute (MEMRI). “We must remove it because it constitutes a security, military and political catastrophe to the Arab and Islamic nation. We are not ashamed to say this.”

1700942490555.png
 
PUnguza jazba mzee, october 7 hakuna mtoto aliyechomwa moto wala wanawake waliobakwa, Israel imeshindwa prove hii claim wewe ndo utaweza ? Na wote tupo bongo hapa?

Wewe unajua kuliko Nasrala..:

Hezbollah's Nasrallah Praises 'Heroic' Oct 7 Hamas Attack, Says It Was '100% Palestinian'​

The leader of Hezbollah lauded how the Hamas attack led to an 'earthquake', in Israel, and warned that 'those who want to prevent a regional war must quickly stop the aggression in Gaza'

Hassan Nasrallah, the leader of Hezbollah, said in a long-anticipated speech in Beirut on Friday that the decision to attack Israel on October 7 was "100 percent Palestinian" and that those who initiated "kept it hidden it from everyone."

Nasrallah opened his speech by saying the Israel-Hamas war, which he referred to as 'Al-Aqsa flood' – Hamas' officially term for the October 7 attack – has extended to more than one front. "We have already joined the battle since October 8," he said in his first official remarks since the war began.

The militant group's leader praised the "heroic" attack by Hamas, in which terrorists attacked farming villages and military posts in southern Israel, leading to the killing of more than 1,400 people in Israel.
 
Wanapambania freedom yao mzee, ndo maana nimekwambia hapo westerners wanazidi kuadvocate two state solution.
Hii hadi biden nae katamka

Wewe huoni kama itaenda kumaliza conflict?

Mkuu.....Wanachotaka Hamas....kinajulikana.....Umesoma Charter ya Hamas...?
 
Wanapambania freedom yao mzee, ndo maana nimekwambia hapo westerners wanazidi kuadvocate two state solution.
Hii hadi biden nae katamka

Wewe huoni kama itaenda kumaliza conflict?

Mkuu kama mimi tuna maisha hakuna Slution...Labda Hamas ife.....Charter ya Hamas iko wazi.....Haikubali Two Sate soultion....Hiyo Nchi walipewa na Allah..

Goals of the HAMAS:------------------'The Islamic Resistance Movement is a distinguished Palestinianmovement, whose allegiance is to Allah, and whose way of life isIslam. It strives to raise the banner of Allah over every inch ofPalestine.' (Article 6)On the Destruction of Israel:-----------------------------'Israel will exist and will continue to exist until Islam willobliterate it, just as it obliterated others before it.' (Preamble)The Exclusive Moslem Nature of the Area:----------------------------------------'The land of Palestine is an Islamic Waqf [Holy Possession]consecrated for future Moslem generations until Judgment Day. No onecan renounce it or any part, or abandon it or any part of it.'(Article 11)'Palestine is an Islamic land... Since this is the case, theLiberation of Palestine is an individual duty for every Moslemwherever he may be.' (Article 13)The Call to Jihad:------------------'The day the enemies usurp part of Moslem land, Jihad becomes theindividual duty of every Moslem. In the face of the Jews' usurpation,it is compulsory that the banner of Jihad be raised.' (Article 15)
 
Muisrael mwenye miaka 5 uwezo wake wa akili anamzidi Mtanzania mwenye miaka 40 na Wapalestina ni hivyo hivyo

Wenzenu mambo ya umri siyo kigezo tena!
Wapumbavu km ww ndio mnaosababisha roho mbaya ziendelee kuwepo hapa duniani.Stupid creature.
 
Wanapambania freedom yao mzee, ndo maana nimekwambia hapo westerners wanazidi kuadvocate two state solution.
Hii hadi biden nae katamka

Wewe huoni kama itaenda kumaliza conflict?
Lengo la Hamas sio two state solution, ni kuifuta Israeli kwenye uso wa dunia..
 
Back
Top Bottom