Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Masuala ya Boko Haram na Sudan yana husiana nini na nilicho kuuliza baki kwenye swali acha mbwembwe za kipuuzi.Ndio maana mnashindwa kupinga Boko Haram....kwa sababu ni Waafrika wenzetu......Mbona Sudan mko kimya....? Unajua ni nini kinafanyika huko.....?
Naomba ramani ya 1947 na sasa 2023 ?