Mambo ambayo sikuwa nayafahamu kuhusu Israel kabla ya "Gaza war"!

Baby killers mwaka jana kuna wanajeshi wa israel waliwauwa watoto wa wanne wa palestina watoto walikuwa tu wanacheza ufukwen wao wakawapa shaba

Anti monitor: Mkuu wale vibibi vizee na vijana kwenye tamasha la muziki Oct 7 ilikuwa ni nini ile?
 
Kwa haya niliyofahamu,basi US na allies wake ni wanafiki wakutupwa na wamejaa double standards!
Huu ndio ukatili wa Israel kwa wapalestina!

1.Israel ndio nchi pekee duniani ambayo watoto wanapelekwa mahakama za kijeshi na kuhukumiwa!

2.Israel Wana administrative detention,hii wanaitumia kuwaweka ndani wapalestina kwa muda wowote watakao bila kushitakiwa!Unaweza kukaa miaka na miaka!

3.Mtoto wa kipalestina wa miaka 8,9,10 anaweza kuhukumiwa Hadi miaka 20 jela kwa kosa la kurusha jiwe kwa waislaeli!Adhabu hii ni kubwa ukilinganisha na Adhabu anayoweza kupata muislael kwa kumuua mpalestina!

4.Mpalestina akifa kabla hajamaliza kifungo basi mwili wake unahifadhiwa bila kuzikwa mpaka maiti ikamilishe kifungo!Mpaka sasa Kuna maiti zaidi ya 394 zinatumikia kifungo Huko kwenye majokofu ya Israel!Na zinapomaliza vifungo basi zinazikwa na kubandikwa namba badala ya jina!

5.Kuna binti kaachiwa,alikuwa anatumikia kifungo cha miaka 10,kosa lake lilikuwa kumsogelea kwa karibu Askari wa Israel!Ametoka akiwa ametumikia miaka 7 gerezani!

Hayo yote ni kinyume na Sheria za kimataifa ambazo Marekani na washirika wake wamekuwa wakiziwekea nchi nyingine vikwazo kwa kukiuka haki za binadamu!
It's a shame!

Borne-e:

Umesahau hotuba ya Mahmoud Ahmadinajed aliyoitoa Kwenye kongomano la 2005"The World Without Zionism" Na kusema tuaifuta Israel kwenye ramani ya Dunia! Ukiwa na watu kama hawa ambao in actual sense wamekula yamini ya kukuangamiza utafanya nini?
Nia yao iko hadharani mno.....Israel inajua hayo yote....Hizo ni baadhi ya Hatua tu....
 
Hapa Mimi nimeleta kile nilichokuwa sijui Kama kipo!Wewe ulichojibu no kuwa kinachofanyika ni sahihi maana Israel anajilinda Kama nimekuelewa!
Ndio nahoji,Kuna uhalali wa collective punishment?
 
Hamas sio Kama ISIS na boko haramu!Hamas ni resistance group!

Umesoma foundind Charter yake?

Goals of the HAMAS:------------------'The Islamic Resistance Movement is a distinguished Palestinianmovement, whose allegiance is to Allah, and whose way of life isIslam. It strives to raise the banner of Allah over every inch ofPalestine.' (Article 6)On the Destruction of Israel:-----------------------------'Israel will exist and will continue to exist until Islam willobliterate it, just as it obliterated others before it.' (Preamble)The Exclusive Moslem Nature of the Area:----------------------------------------'The land of Palestine is an Islamic Waqf [Holy Possession]consecrated for future Moslem generations until Judgment Day. No onecan renounce it or any part, or abandon it or any part of it.'(Article 11)'Palestine is an Islamic land... Since this is the case, theLiberation of Palestine is an individual duty for every Moslemwherever he may be.' (Article 13)The Call to Jihad:------------------'The day the enemies usurp part of Moslem land, Jihad becomes theindividual duty of every Moslem. In the face of the Jews' usurpation,it is compulsory that the banner of Jihad be raised.' (Article 15)'Ranks will close, fighters joining other fighters, and masseseverywhere in the Islamic world will come forward in response to thecall of duty, loudly proclaiming: 'Hail to Jihad!'. This cry willreach the heavens and will go on being resounded until liberation isachieved, the invaders vanquished and Allah's victory comes about.'(Article 33)
 
Kwa haya niliyofahamu,basi US na allies wake ni wanafiki wakutupwa na wamejaa double standards!
Huu ndio ukatili wa Israel kwa wapalestina!

1.Israel ndio nchi pekee duniani ambayo watoto wanapelekwa mahakama za kijeshi na kuhukumiwa!

2.Israel Wana administrative detention,hii wanaitumia kuwaweka ndani wapalestina kwa muda wowote watakao bila kushitakiwa!Unaweza kukaa miaka na miaka!

3.Mtoto wa kipalestina wa miaka 8,9,10 anaweza kuhukumiwa Hadi miaka 20 jela kwa kosa la kurusha jiwe kwa waislaeli!Adhabu hii ni kubwa ukilinganisha na Adhabu anayoweza kupata muislael kwa kumuua mpalestina!

4.Mpalestina akifa kabla hajamaliza kifungo basi mwili wake unahifadhiwa bila kuzikwa mpaka maiti ikamilishe kifungo!Mpaka sasa Kuna maiti zaidi ya 394 zinatumikia kifungo Huko kwenye majokofu ya Israel!Na zinapomaliza vifungo basi zinazikwa na kubandikwa namba badala ya jina!

5.Kuna binti kaachiwa,alikuwa anatumikia kifungo cha miaka 10,kosa lake lilikuwa kumsogelea kwa karibu Askari wa Israel!Ametoka akiwa ametumikia miaka 7 gerezani!

Hayo yote ni kinyume na Sheria za kimataifa ambazo Marekani na washirika wake wamekuwa wakiziwekea nchi nyingine vikwazo kwa kukiuka haki za binadamu!
It's a shame!
Mimi hata shishangai roho zao kuwa mbaya kiasi hicho. Kama waliweza kumsurubu Yesu mpaka kifo kwa bila kosa lolote.
 
Attachments

  • tmp-cam-4635483253917454619.jpg
    tmp-cam-4635483253917454619.jpg
    34.1 KB · Views: 2
Kwa haya niliyofahamu,basi US na allies wake ni wanafiki wakutupwa na wamejaa double standards!
Huu ndio ukatili wa Israel kwa wapalestina!

1.Israel ndio nchi pekee duniani ambayo watoto wanapelekwa mahakama za kijeshi na kuhukumiwa!

2.Israel Wana administrative detention,hii wanaitumia kuwaweka ndani wapalestina kwa muda wowote watakao bila kushitakiwa!Unaweza kukaa miaka na miaka!

3.Mtoto wa kipalestina wa miaka 8,9,10 anaweza kuhukumiwa Hadi miaka 20 jela kwa kosa la kurusha jiwe kwa waislaeli!Adhabu hii ni kubwa ukilinganisha na Adhabu anayoweza kupata muislael kwa kumuua mpalestina!

4.Mpalestina akifa kabla hajamaliza kifungo basi mwili wake unahifadhiwa bila kuzikwa mpaka maiti ikamilishe kifungo!Mpaka sasa Kuna maiti zaidi ya 394 zinatumikia kifungo Huko kwenye majokofu ya Israel!Na zinapomaliza vifungo basi zinazikwa na kubandikwa namba badala ya jina!

5.Kuna binti kaachiwa,alikuwa anatumikia kifungo cha miaka 10,kosa lake lilikuwa kumsogelea kwa karibu Askari wa Israel!Ametoka akiwa ametumikia miaka 7 gerezani!

Hayo yote ni kinyume na Sheria za kimataifa ambazo Marekani na washirika wake wamekuwa wakiziwekea nchi nyingine vikwazo kwa kukiuka haki za binadamu!
It's a shame!
Hamas ndio watu pekee wanawatumia watoto kwenye vita mfano huwatumia watoto kuwarushia mawe wanajeshi wa Israel,huwafindisha watoto chuki kuwatukana wanajeshi wa Israel kuwanenea lugha isiyofaa,pia hamas huficha silaha zao kwenye shule za watoto,kwenye misikiti, hospital na Hamas hujificha shuleni kipindi cha mapambano huwatumia watoto kama kinga na huweka picha za watoto wadogo kutafuta huruma za Dunia, Hamas inafaa washtakiwe ni kwa kuwatumia watoto kwenye ugaidi na kuweka miundo mbinu ya kigaidi shule za watoto na hospital na kambi za wakimbizi

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom