Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hawa jamaa ndiomana sir Hitler aliwasukumia moto
Hamas imeitwa kundi la kigaidi baada ya oct 7,kabla ya hapo mbona haikuwa hivyo?Inamaana hiyo article West hawakuiona?kuclaim ardhi yako sio ugaidi
Hamas imeitwa kundi la kigaidi baada ya oct 7,kabla ya hapo mbona haikuwa hivyo?Inamaana hiyo article West hawakuiona?kuclaim ardhi yako sio ugaidi
Una hakika na unachokizungumza Mkuu.....?
Uko brainwashed na unapelekwa tu!Hao Hamas wako occupied West bank?Hamas wako Gaza,sasa hayo niliyoandika yanawakumba wapalestina wote,wa Gaza na West bank!
Yaani mtu anakalia ardhi yako kimabavu,unatakiwa utulie tu!Upangiwe muda wa kutoka ndani na muda wa kurudi,uishi kama mnyama anayefugwa!Halafu eti unaleta story za watoto kufundishwa kurusha mawe,so what?Ndio akimpiga jiwe Askari,ndio apelekwe military court na kuhukumiwa miaka mpaka 20 jela?Uko serious?
Mkuu usisahau moto ambao Waarabu wamesukumia Wapalestina....! Unajua Mfalme wa Jordan aliwanyia nini mwaka 1970/71....Huwezi kusikia Waarabu wanazungumza......Sina haja ya Kwenda mbali, si umeona vita hii, ni nani kaamunua kwenda kusaidia! Egypty ilifunga kabisa mipaka yake, mpaka ilipobembelezwa na na US kwa hongo nyuma yake! Unajua ni kwa nini....Hamas wana Ideology Moslem Brotherhood....Imeisumbua Misri miaka yote.....Nimekumbuka hata Kuwait iliwafukuza.....Wewe unajua kuliko Waarabu ? Wanajua wanafanya nini....
Mnaichokoza wenyewe ikianza kuwatifua mnasema taifa la kishetani kwanini msimuombe huyo Mungu wenu ili mliteketeze hilo taifa mnaloliita la kishetaniIsrael ni nchi ya kishetani
Hamas wanaroho nzuri walichoma moto watoto wadogo,walivyo baka walivyoteka,walivyoua wayahudi 1400Wayahudi wana roho mbaya sana .wana hasira na waliyo fanyiwa na Hitler sijui
Labda anakuzidi wewe hapoMuisrael mwenye miaka 5 uwezo wake wa akili anamzidi Mtanzania mwenye miaka 40 na Wapalestina ni hivyo hivyo
Wenzenu mambo ya umri siyo kigezo tena!
Unataka wapalestina wakaribishwe kwenye nchi zingine halafu hapo Palestine wamwachie nani?Borne-e:
Unapozungukwa na Mataifa almost 22 yamedhamiria kukuangamiza.....na yamejaribu kukuangamiza....si mara moja au mara mbili....ni measures gani utatumia? Unapoamua kutumia Vita kama ndio mojawapo hayo ndio matokeo...!
Mbona huwa hamzungumzi Mfalme wa Jordan, King Hussein aliwauwa Wapelestine wangapi Septembar 1970? Au mnasahau historia.
Kwa nini hamjiulizi kwa nini nchi za Kiarabu hazitaki kabisa kukaribisha Wapelestine katika Nchi zao? Unadhani Egpty ni wapumbavu? Ziko Nchi kama 22 Kiarabu...na kati yao zina utajiri mkubwa mno! Lakini huwa zinajua Kukaribisha Wapelestina ni kufungulia mlango wa matatizo.....Israel inalijua hilo ndio maana ina measures kama hizo!
Unataka wapalestina wakaribishwe kwenye nchi zingine halafu hapo Palestine wamwachie nani?
akili ndogo , usipende kulaumu bila kufuatilia , hapo msumbiji wamekumbwa na ugaidi wakianza sheria km hizo ugaidi utaisha , je unataka israel waaze kuwa km msumbiji ? WAISLAM NI MASHETANI NA MABAGUZI UKICHEKA NAYO UTASTUKA YAMEKUCHINJA NA YANAONA NI SW TU KISA QURAN YAO INARUHUSUKwa haya niliyofahamu,basi US na allies wake ni wanafiki wakutupwa na wamejaa double standards!
Huu ndio ukatili wa Israel kwa wapalestina!
1.Israel ndio nchi pekee duniani ambayo watoto wanapelekwa mahakama za kijeshi na kuhukumiwa!
2.Israel Wana administrative detention,hii wanaitumia kuwaweka ndani wapalestina kwa muda wowote watakao bila kushitakiwa!Unaweza kukaa miaka na miaka!
3.Mtoto wa kipalestina wa miaka 8,9,10 anaweza kuhukumiwa Hadi miaka 20 jela kwa kosa la kurusha jiwe kwa waislaeli!Adhabu hii ni kubwa ukilinganisha na Adhabu anayoweza kupata muislael kwa kumuua mpalestina!
4.Mpalestina akifa kabla hajamaliza kifungo basi mwili wake unahifadhiwa bila kuzikwa mpaka maiti ikamilishe kifungo!Mpaka sasa Kuna maiti zaidi ya 394 zinatumikia kifungo Huko kwenye majokofu ya Israel!Na zinapomaliza vifungo basi zinazikwa na kubandikwa namba badala ya jina!
5.Kuna binti kaachiwa,alikuwa anatumikia kifungo cha miaka 10,kosa lake lilikuwa kumsogelea kwa karibu Askari wa Israel!Ametoka akiwa ametumikia miaka 7 gerezani!
Hayo yote ni kinyume na Sheria za kimataifa ambazo Marekani na washirika wake wamekuwa wakiziwekea nchi nyingine vikwazo kwa kukiuka haki za binadamu!
It's a shame!
wajuwe kwanza waislam ndo uwaaamu , hao Wanaojali haki za binadam mf msumbiji , nigeria wamefikia wap na magaid , wapalestina sio wa kucheka naoIsrael ni nchi ya kishetani
Naomba ramani ya 1947 na sasa 2023 ?Nani anataka kuchukua nchi yao? Gaza wameikalia toka 2005....Nani kwafukuza West Bank......Nazugumzia hata kwenda nchi za Kiarabu kwa Humanitarian grounds.....Wamejifunza Kutoka Jordan....na hata ambavo Lebanon hakukaliki....is almost a failed state!
Israel is last remaining apartheid country in the world.
Naomba ramani ya 1947 na sasa 2023 ?
N.b kama wewe ni mwafrika unahuzunisha kwa upande ulioo amua kusimama kama kweli historia ya Afrika na mwafrika unaifahamu vyema hata kwa udogo wake
Naomba ramani ya 1947 na sasa 2023 ?
N.b kama wewe ni mwafrika unahuzunisha kwa upande ulioo amua kusimama kama kweli historia ya Afrika na mwafrika unaifahamu vyema hata kwa udogo wake
Mambo ya mashariki ya kati tuwaachie wenyewe kwanza maana yapo makubwa zaidi Afrika.
Vipi kuhusu Waarabu wa Janjaweed na mauaji ya kimbari (genocide) wanayotekeleza kwa makusudi dhidi ya Waafrika weusi wenzetu, kwenye ardhi yao ya asili kule Darfur?!
Sijakuomba usimame upande wa waarabu. Swali langu naomba ramani ya 1947 na sasa 2023 ?Hivi kuwa mwafrika unatakiwa kusimamia upande wa Mwarabu? Yamekuwa hayo Kweli iko kazi.......Hebu nenda Kwenye Webisite ya UN.....Itakupa ramani ya 1947 ya hiyo nchi...au angalia resolution 181....