Mambo ambayo sikuwa nayafahamu kuhusu Israel kabla ya "Gaza war"!

Mambo ambayo sikuwa nayafahamu kuhusu Israel kabla ya "Gaza war"!

Mkuu usisahau moto ambao Waarabu wamesukumia Wapalestina....! Unajua Mfalme wa Jordan aliwanyia nini mwaka 1970/71....Huwezi kusikia Waarabu wanazungumza......Sina haja ya Kwenda mbali, si umeona vita hii, ni nani kaamunua kwenda kusaidia! Egypty ilifunga kabisa mipaka yake, mpaka ilipobembelezwa na na US kwa hongo nyuma yake! Unajua ni kwa nini....Hamas wana Ideology Moslem Brotherhood....Imeisumbua Misri miaka yote.....Nimekumbuka hata Kuwait iliwafukuza.....Wewe unajua kuliko Waarabu ? Wanajua wanafanya nini....
Rais wa Egypt amewekwa na USA kwa maslahi ya Israel. Sasa wewe hapo unategemea nini?
 
Ndio maana mnashindwa kupinga Boko Haram....kwa sababu ni Waafrika wenzetu......Mbona Sudan mko kimya....? Unajua ni nini kinafanyika huko.....?
Sudan wanapigana wao kwa wao. Sasa hapo kama una akili timamj huwezi kuchagja upande
 
Nani mjinga...kama Rais wa Egypt kawekwa na USA....Kwa nini asiwe pia na wa Iran...? Mwisho utaishia kusema hata kiongozi wa Hamas kawekwa na Israel.....Huna hoja...!
Kwahiyo akili yako inakutuma kama USA amefanikiwa Egypt, basi atafanikiwa kila nchi?
 
Kwahiyo akili yako inakutuma kama USA amefanikiwa Egypt, basi atafanikiwa kila nchi?

Wewe ndio uliyesema Rais wa Egpty kawekwa na US.....Swali langu kwa hata Ayatollah inawezekana kawekwa na US.....Na labada inawezekana, mbona hajatoa support Gaza inavyogawanywa vipande viwili...
 
Kwaio watu kujilinda na ardhi yao mnawaita magaidi miaka yote wamavizi wa israel wanavyowaua wapalestina mlikuwa hamuon

Kwa Hiyo October 7 ilikuwa ni kujilinda? Anti - Monitor hata ushabiki unatakiwa uwe na logic na common sense jamaa yangu!
 
Kwa haya niliyofahamu,basi US na allies wake ni wanafiki wakutupwa na wamejaa double standards!
Huu ndio ukatili wa Israel kwa wapalestina!

1.Israel ndio nchi pekee duniani ambayo watoto wanapelekwa mahakama za kijeshi na kuhukumiwa!

2.Israel Wana administrative detention,hii wanaitumia kuwaweka ndani wapalestina kwa muda wowote watakao bila kushitakiwa!Unaweza kukaa miaka na miaka!

3.Mtoto wa kipalestina wa miaka 8,9,10 anaweza kuhukumiwa Hadi miaka 20 jela kwa kosa la kurusha jiwe kwa waislaeli!Adhabu hii ni kubwa ukilinganisha na Adhabu anayoweza kupata muislael kwa kumuua mpalestina!

4.Mpalestina akifa kabla hajamaliza kifungo basi mwili wake unahifadhiwa bila kuzikwa mpaka maiti ikamilishe kifungo!Mpaka sasa Kuna maiti zaidi ya 394 zinatumikia kifungo Huko kwenye majokofu ya Israel!Na zinapomaliza vifungo basi zinazikwa na kubandikwa namba badala ya jina!

5.Kuna binti kaachiwa,alikuwa anatumikia kifungo cha miaka 10,kosa lake lilikuwa kumsogelea kwa karibu Askari wa Israel!Ametoka akiwa ametumikia miaka 7 gerezani!

Hayo yote ni kinyume na Sheria za kimataifa ambazo Marekani na washirika wake wamekuwa wakiziwekea nchi nyingine vikwazo kwa kukiuka haki za binadamu!
It's a shame!
Mm hii vita ya Israel na Hamas imezidi kunithibitishia kuwa Waislam ni majitu yenye hasira wakati wote

View: https://x.com/AzzatAlsaalem/status/1728204708882608472?s=20

IMG_2494.jpeg
 
hii ishadhihirika kwamba ni uongo

Okay hata hao Mateka walipelekwa Gaza na Israel.....na Hamas wakiwa mazuzu wakawapokea...na baada ya kubondwa wakawarudisha.....that was a smart move...!!!
 
Back
Top Bottom