cassavaleaves
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 1,799
- 2,237
Mkuu nimeisoma yote na asante umeniongezea kitu ila nani mchokozi toka mwanzo ? Me sitaki hayo mambo ya dini zao? Hawajaanza kugombana leo twende kwenye source hapo ndio tujue ili wasolve wafanyaje …NAN KAMCHOKOZA MWENZIE ?
Achana na dini hizo mbili yan wayahud na waislam, nan kamvamia mwenzie kwenye land ambayo sio yake na analeta ubabe kisa tu ana backup ya western countries ?Kwanza naanza kujibu argrument yako kuhusu udini....... Naona umeshindwa kabisa kuona udini wa Hamas....? Kuhusu nani mchokozi....Unajua Historia ya mahali hapo?
Zote mkuu zote zimeletwa tu na uwongo ni mwingi sana me sitaki mambo ya dini nataka tujue nan kamchokoza mwenzie huyo ndio aadhibiwe, Mkuu unajua chanjo cha ugomvi wa Palestina na Israeli ?
Achana na dini hizo mbili yan wayahud na waislam, nan kamvamia mwenzie kwenye land ambayo sio yake na analeta ubabe kisa tu ana backup ya western countries ?
Achana na dini hizo mbili yan wayahud na waislam, nan kamvamia mwenzie kwenye land ambayo sio yake na analeta ubabe kisa tu ana backup ya western countries ?
Katibu mkuu wa baraza la umoja wa mataifa juz juz tu hapa, alisema hiv haya ambayo wameyafanya Hamas pamoja na ubaya wao kuua raia na nini, sio mambo ambayo yamejitokeza tu yana historia yake, baloz wa israel umoja wa mataifa kamwambia ajiuzuru, akamtukana sana.Ni land ya nani mkuu....unaweza kutupa Historia yake....angalau kiduchu....!
Ni lini Mkuu Israel alivamia Land hiyo......? Tupe hata tarehe tu angalau....Hivyo UN inapoitambua Israel kama nchi, imesimamaia kwenye nini hasa?
On May 14, 1948, David Ben-Gurion, the head of the Jewish Agency, proclaimed the establishment of the State of Israel. U.S. President Harry S. Truman recognized the new nation on the same day. Mkuu Muwe mnasoma sasa hata kidogo ndio mana me sipend vya kusimuliwa saaana i dig huku na huku, kwahiyo hapa utajua kwanini mmarekani anamsaidia myahudiNi lini Mkuu Israel alivamia Land hiyo......? Tupe hata tarehe tu angalau....Hivyo UN inapoitambua Israel kama nchi, imesimamaia kwenye nini hasa?
Mkuu nimekuuliza kwa Makusudi kabisa...unadhani sijui.....May 1948 walipotangaza taifa lao, kulikuwa na Taifa la Palestina?On May 14, 1948, David Ben-Gurion, the head of the Jewish Agency, proclaimed the establishment of the State of Israel. U.S. President Harry S. Truman recognized the new nation on the same day. Mkuu Muwe mnasoma sasa hata kidogo ndio mana me sipend vya kusimuliwa saaana i dig huku na huku, kwahiyo hapa utajua kwanini mmarekani anamsaidia myahudi
Angalia revolution ya map ya Palestine alafu ndio utajua nani mkorofi,Ni lini Mkuu Israel alivamia Land hiyo......? Tupe hata tarehe tu angalau....Hivyo UN inapoitambua Israel kama nchi, imesimamaia kwenye nini hasa?
Halikuwepo lakini ardi ilikuwa ya waarabu mkuu wamevia na kila mtu anajua kasoro weweMkuu nimekuuliza kwa Makusudi kabisa...unadhani sijui.....May 1948 walipotangaza taifa lao, kulikuwa na Taifa la Palestina?
Muingereza aliitawala hiyo ardhi na alipoondoka akawapa wayahudi na ndio ugomvi ukaanza hapo hapo wayahudi walikuwa na sehemu ndogo sana kwenye hiyo ardhi mkuu waingereza walisema giving palestine to the jews would solve the jewish problem au wanaitaga the jewish question na walivyopewa tatizo likaanza hapo hapo, hii jewish question ni topic nyingine kabisa ni ya siku nyingine masta, nimemaliza kazi yangu hapa ngoja nipumzike, usiku mwema ila hapo Palestine anaonewa wazi waziMkuu nimekuuliza kwa Makusudi kabisa...unadhani sijui.....May 1948 walipotangaza taifa lao, kulikuwa na Taifa la Palestina?
Mkuu nimekuuliza kwa Makusudi kabisa...unadhani sijui.....May 1948 walipotangaza taifa lao, kulikuwa na Taifa la Palestina?
Nani kakwambia ilikuwa ardhi ya Waarabu.....Unajua Waturuki wameitawala hiyo land inayoitwa Palestine kwa miaka mingapi? Walitawala Waarabu, Wayahudi...na makabila mbali mbal waliokuwepo hapo....Wote wana legitimate attachment na hiyo land.....Ottoman Empire ruled Palestine land for almost 402... Waturuki sio Waarabu, najua unajua hilo....Baadaye Waingereza..... halafu UN ikaifanyia Partion 1947...kwa Waarabu na Waisrael waliokuwepo hapo....Halikuwepo lakini ardi ilikuwa ya waarabu mkuu wamevia na kila mtu anajua kasoro wewe
Muingereza aliitawala hiyo ardhi na alipoondoka akawapa wayahudi na ndio ugomvi ukaanza hapo hapo wayahudi walikuwa na sehemu ndogo sana kwenye hiyo ardhi mkuu waingereza walisema giving palestine to the jews would solve the jewish problem au wanaitaga the jewish question na walivyopewa tatizo likaanza hapo hapo, hii jewish question ni topic nyingine kabisa ni ya siku nyingine masta, nimemaliza kazi yangu hapa ngoja nipumzike, usiku mwema ila hapo Palestine anaonewa wazi wazi
Imetawaliwa had na roman empire, hadi mafarao wamewah kutawala hapo ottomanwalimwachia mwingereza ila hiyo land ni ya waarabu mkuuNani kakwambia ilikuwa ardhi ya Waarabu.....Unajua Waturuki wameitawala hiyo land inayoitwa Palestine kwa miaka mingapi? Walitawala Waarabu, Wayahudi...na makabila mbali mbal waliokuwepo hapo....Wote wana legitimate attachment na hiyo land.....Ottoman Empire ruled Palestine land for almost 402... Waturuki sio Waarabu, najua unajua hilo....Baadaye Waingereza..... halafu UN ikaifanyia Partion 1947...kwa Waarabu na Waisrael waliokuwepo hapo....
Ni nani aliita hiyo Land Palestine?
Mwingereza aliwapa hiyo Nchi Wayahudi....? Search Historia yako tena?
Land ya Mwarabu from what basis....? Mbona huelezi? Msimamo wangu uko wazi, Mwarabu na Myahudi wote wana historical attachment.....Ndio Maana hata Warabu.....hata Hamas wanakubali two State solution sasa hivi....Zamani walikuwa hawataki kusikia hilo....Usiku Mwema.Imetawaliwa had na roman empire, hadi mafarao wamewah kutawala hapo ottomanwalimwachia mwingereza ila hiyo land ni ya waarabu mkuu
Aisee kasome tena masta nenda kasome the baMwingereza aliwapa hiyo Nchi Wayahudi....? Search Historia yako tena?
masta ukitaka kujua nani alimpa myahudi hiyo land kasome the BALFOUR DECLARATION… usiku mwema…Mkuu tutakutana kesho.....Wote Waarabu na Wayahudi wana legitimate attachment na hiyo land! Ndio maana UN 1947 iliigawanya kwa wote mkuu! Mwingereza hajawahi kumpa nchi Myahudi.
British Mandate ilipoisha hakumwachia Mwarabu wala Myahudi....Imetawaliwa had na roman empire, hadi mafarao wamewah kutawala hapo ottomanwalimwachia mwingereza ila hiyo land ni ya waarabu mkuu