Mambo ambayo ukifanya watu hawatasita kukuua. Bila kujali Sheria zipo au hazipo, Mungu yupo au hayupo

Mtu mwenye laana ni baba aliyemtongoza mwanamke na kumpa mimba na kuzaliwa mtoto ambaye hakukuomba umzae.......

Unapofikiria na kuamua kufanya jambo usitafute sababu za kutowajibika........

Mwanaume kamili hufikiria kabla ya kutenda na sio kutenda na ndio kufikiri.......

Lazima utafute mbinu au njia ya kuwajibika na sio kususia majukumu..... yako kwa mwanamke........
 
Niongezee kwenye number 2 Mbili, kijamii

Usilazimishe mazoea na watu usiowajua uraiani

Kuna watu hawajui utani kabisa na hawapendi mazoea hata kidogo.

Baadhi ya wachangiaji wa chit-chat ili somo kwao gumu.
Watakuniga
 
Kuna muhuni kasusia mtoto kwa wazazi wake anasubiri mtoto akue aje kupiga domo
 
Mtu mwenye laana ni baba aliyemtongoza mwanamke na kumpa mimba na kuzaliwa mtoto ambaye hakukuomba umzae.......
Kuzaa au kuzaliwa ni jukumu la Mungu sio la wanaofanya zinaa au tendo la ndoa. Usichanganye madesa.

Uzinzi dhambi inayoweza kuleta Laana.
Mwanaume anapofanya zinaa

Unapofikiria na kuamua kufanya jambo usitafute sababu za kutowajibika........

Uwajibikaji ni lazima
Nishakuambia,
Kuna wajibu wa lazima na wajibu wa hiyari.

Kumpa mtoto Urithi au Baraka ni wajibu wa hiyari Kwa Baba. Sio lazima.

Urithi wa asili ambao hutolewa na Mungu mwenyewe kupitia genetics, ni MUNGU mwenyewe
Mwanaume kamili hufikiria kabla ya kutenda na sio kutenda na ndio kufikiri.......

Lazima utafute mbinu au njia ya kuwajibika na sio kususia majukumu..... yako kwa mwanamke........

Kumrithisha mtoto au kumbariki sio jukumu la lazima la mzazi kwa mtoto

Mzazi hufanya hivyo kwa mtoto ambaye atafanya mapenzi ya Babaake
 
Niongezee kwenye number 2 Mbili, kijamii

Usilazimishe mazoea na watu usiowajua uraiani

Kuna watu hawajui utani kabisa na hawapendi mazoea hata kidogo.

Baadhi ya wachangiaji wa chit-chat ili somo kwao gumu.

Wao wanaleta mambo ya HAKI za binadamu lakini Haki hizo hawakuzitumia kujizuia kuwaumiza wengine
 
Nakubali
 
Watakuniga
Kwani kuna mangapi humu ya siasa watu wanajua lakini wanajua ohoo huo uropokaji wako ni tatizo.

Na waropokaji wengine wako mbali na nchi. Lakini wanajua usichukulie poa watoto wa kiume, kuna watu usijifanye unawajua sana hawajui utani.

Hiyo ni shida ya wachangiaji wa chit-chat hasa wanawake udhani wanaume wote ni sampuli ya wale wanaoshinda nao; na baadhi ya wanaume wenye tabia zao ufikiria hivyo.

Kuna watu hawapendi mazoea na hawajui utani wa kijinga (enhe).
 
Hapana mkuu kama ulimzaa anastahili angalau sehemu ya urithi! Ile ni damu yako.
 
Watakutumia majini
 
umesahau ukiwajua watu wanaofanya biashara ya viungo vya binadamu na human trafficking
 
Hivi hawa wasiojulikana wana tofauti na Magaidi? Ugaid?
 
Hapo kwwnye no 1(a)(b)(c) mwenyekiti ajaye yote kayapangua na bado anadunda
 
umesahau ukiwajua watu wanaofanya biashara ya viungo vya binadamu na human trafficking
Sehemu kubwa (ya wafanyabiashara ya viuingo) ni wanasiasa ndio maana kuuwa kwao sio shida.

Ili lipo wazi, hongo ya Abdul ingemstua nani nchi hii (si tumeshayazoea MaCCM) kwa hayo mambo.

Yaani uuwe mtu (Mzee Kibao) kisa kuropoka kuhusu hongo tu aijalishi nani mtoaji (CCM/Serikali/Abdul).

Mtu anaetumia madaraka vibaya hivyo kazoea kutoa kafara za watu wengine

Very senseless killing.
 
Kutangaza kuwa tajiri fulani anachukuwa msukuke, atatafuta kikundi cha watu na utafutika katika uso wa dunia. Kumuagua taahira ambae alikuwa jembe ka mtu, utaondoka tu duniani.
 
Niongezee kwenye number 2 Mbili, kijamii

Usilazimishe mazoea na watu usiowajua uraiani

Kuna watu hawajui utani kabisa na hawapendi mazoea hata kidogo.

Baadhi ya wachangiaji wa chit-chat ili somo kwao gumu.
Kweli kabisa Mkuu, mazoea ni mabaya sana hata Mimi mtaani kwangu kuna vijana wengi sana lakini niliowazoea kama 10 tu tena kwa sababu maalumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…