Mambo ambayo wabongo wengi wanaamini lakini ni uongo

Mtoa mada uko sahihi 100%
Ni vile tu akili za wadau zimeegemea maeneo flani; yaani wanalazimisha kutafsiri uzi kuelekea maana flani (potofu) ambayo mtoa mada wala hata hajagusa.

Enzi hizo yule jamaa aliyetafiti na kugundua kwa nia nzuri tu kuwa dunia inazunguka jua na si vice versa (kama ilivyodhaniwa hapo awali) alishambuliwa sana na hata kutengwa na dini wakiamini anatibua maandiko. Ndio nnachokiona kwa mashambulizi ya wadau wengi humu juu yako.
 
Mmmmmh huu mkeka cjaelewa
 
Puchu haina madhara ila ukiwapa watu masikii tu utajpa tatizo la afya ya akili
 
Umeandika ujinga
 
Bora na wewe umeona hilo, jamaa andiko lake limejikita kwenye kuhamasisha ushoga.
 
Kwa upande wa kujaamiana naona upo upande wa upindensk na kiimani wewe ni mshirikina.
 
Wewe itakua kibendera mbn umewatetea kwenye no 6
 
Kuna mtu anauliza umejuaje kuwa unaweza ingiliwa nyuma na bado ukawa na marinda 😄
 
6 na 7 ndio ulilenga kuhalalisha.
 
rekebisha lugha yako.

Kutokuwa ya kweli haina maana kuwa ni ya uwongo. Kuna tofauti kubwa sana kati jambo kutokuwa la kweli na jambo kuwa la uwongo. Kutokuwa la kweli ni reflection ya kutokuwa na taarifa sahihi, na kuwa uwongo ni kupotosha ukweli kwa makusudi.
 
Sio kumshambulia.... wakatoliki walimuua na kumuua na kumwita heretic... Ila saa hivi facts zinajionyesha...wamekuja watu kidogo kupiga facts kwa hoja tumeelezana yameisha...wengine ni matusi matusi tu waliyokaririshwa na sheikh wao ubwabwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…