Mambo ambayo wabongo wengi wanaamini lakini ni uongo

Mambo ambayo wabongo wengi wanaamini lakini ni uongo

rekebisha lugha yako.

Kutokuwa ya kweli haina maana kua ni ya uwongo. Kuna tofauti kubwa sana kati jambo kutokuwa la kweli na jambo kuwa la uwongo. Kutokuwa la kweli ni refelection ya kutokuwa na taarifa sahihi, na kuwa uwongo ni kupotosha ukweli kwa makusudi.
Okay... Nimekuelewa niambie fact ambayo unaona nimekosea kuiclassify
 
Naomba huu Uzi usifungwe na mods Wala usiunganishwe. Sijaunda Uzi siku nyingi ila nacomment za wengine naona watu wengi wanaamini vitu vingi ambayo ni uongo kutokana kukosa maarifa na pia kutokana na kujazwa ujinga na dini, tamaduni au hata wazazi wao. So Leo katika Uzi huu nataka ni list vitu vyote hapa.

1. Wanaume na wanawake kidunia population ni almost equal ila wanaume wapo wengi kidogo. Wengi mnadanganyana wanawake wapo wengi sana na kujitungia ratio za uwongo.

2. Bikra ya mwanamke ni concept sio kitu cha kuwepo na kutoka. mwanamke anaweza awe bikra na asitoke damu wala kupasua hemen akifanya first time na inaweza kupasuka au kutoka damu kwa sababu zisizo za ngono.

3. Upana wa k hauna uhusiano wowote na mara alizofanya mapenzi mwanamke au kuzaa. Kuta za k ni kama za mdomo ukila unapanuka ukifunga unarudi.

4. Masturbating (Puchu) haina madhara yoyote kwa mwanaume na vyote unavyoskia ni Vitisho tu vya tamaduni na dini

5. Hamna illuminati na freemason ni kundi tu la kawaida hamna mambo ya new world order wala nini ni propaganda tu za watu wa dini ili kuaminisha watu dunia inatisha na inaisha ili waogope wajaze vikapu vya sadaka.

6. Kuna species zaidi ya 1500 za wanyama ambazo jinafanya mapenzi ya jinsia moja, so ile hoja ya sijui wanyama hawapandiani ni uwongo na ni propaganda za wenye dini na tamaduni.

7. Sio watu wote wanaofanya anal intercourse hawana marinda, again ni propaganda za wenye dini na tamaduni kutishia watu.

8. Uganga, makanisa ya kiroho, uchawi, vyote ni uwongo na utapeli wa kudanganya wajinga na maskini.

9. Dini zote duniani ni man made, hamna hata dini moja imetoka kwa muumba sijui nini zote zimeundwa kutokana na ukosaji maarifa na pia kucontrol maisha ya watu kwa manufaa ya wachache.

I think ni hayo tu, mwenye comment, additions, suggestions, criticism, lolote lile aliseme.
Hizo aina 1500 za wanyama wanaofanya mapenzi ya jinsia moja hebu tutajie na utuletee kapicha tuwaone ukishindwa jipige picha hata hata ww tu
 
Unajua watu kwenye huu uzi mnaanza kuwa kama makolo...😂anal wanafanya wanaume tu...Kuna sehemu nimesema muwe mashoga au mi shoga...first 2 facts nimeongelea wanawake mbona hamuoni...Sasa facts ni hivi nimefila mademu na kugundua Malinda haichanwi ni propaganda, Kuna Malaya kibao wanauza nyuma Wana Malinda.. asa wewe Kama demu wako haumli nyuma na ana Malinda usidhani ndo haliwi nyuma analiwa vizuri tu wewe tu ndo humli wewe tu ndo ustadh wengine wanamfaidi... ndo point Ya hiyo fact...hasa wote mnaonitukana ongeeni na mademu zenu vizuri
 
Back
Top Bottom