Organisation zinazocontrol Uchumi wa Dunia pale juu kwenye Pyramid wanaamini amekaa Shetani Ila Shetani na Mungu ni mirror mirror on the wallUmejuaje kama ni shetani mkuu kwani ushawai kumuona??
Mkuu kwani mimi ni yule naejiona kwenye kioo??Organisation zinazocontrol Uchumi wa Dunia pale juu kwenye Pyramid wanaamini amekaa Shetani Ila Shetani na Mungu ni mirror mirror on the wall
Emu wewe jitazame kwenye kioo unaemuona ni nani Mungu au
okay, the perfection of universe it is its imperfection.Organisation zinazocontrol Uchumi wa Dunia pale juu kwenye Pyramid wanaamini amekaa Shetani Ila Shetani na Mungu ni mirror mirror on the wall
Emu wewe jitazame kwenye kioo unaemuona ni nani Mungu au Shetani?
Mkuu pdf drive inagoma ku download vitabu huu mwezi wa 3 sasa, sijajua tatizo nini?Hii haiwezi kufikia Pdfdrive aisee ilikuwa poa sana hakuna kitabu utakosa pale..
Hii inabaki kuwa The Former big library books sahzi unaweza kuviona ila huwezi kuvichukua..
PDF Drive - Search and download PDF files for free.
PDF Drive is your search engine for PDF files. As of today we have 75,036,752 eBooks for you to download for free. No annoying ads, no download limits, enjoy it and don't forget to bookmark and share the love!www.pdfdrive.com
Nasikia na paka ana roho Saba hii imekaajeokay, the perfection of universe it is its imperfection.
fallen angles ndo elites leaders,huyo mnae muita shetani napenda kumtania kumuita lord of fallens ndo top manyota, japokuwa inasemekana kuna viumbe sio binadam lakin havipatan na lucifer.
quantumly creation and destruction ndo rule,
ukumbuke yehova ana nafsi saba ukiitoa moja hawi tena mkamilifu,
spirit of the lord and lord him self are different things
Hakuna kitu km hio ana roho moja tu, wacheni kujidanganyaNasikia na paka ana roho Saba hii imekaaje
Kwa hio unataka kusemaje Mungu ndio Shetani au Shetani ndio Mungu?okay, the perfection of universe it is its imperfection.
fallen angles ndo elites leaders,huyo mnae muita shetani napenda kumtania kumuita lord of fallens ndo top manyota, japokuwa inasemekana kuna viumbe sio binadam lakin havipatan na lucifer.
quantumly creation and destruction ndo rule,
ukumbuke yehova ana nafsi saba ukiitoa moja hawi tena mkamilifu,
spirit of the lord and lord him self are different things
shetani sio jina ni utambulisho wa mlaaniwa, lucifer ni mlaaniwa shetani kwa Mungu Yehova lucifer its just a son, michaelbrother ni kakitu kadogo sanaKwa hio unataka kusemaje Mungu ndio Shetani au Shetani ndio Mungu?
ππππ big lie, sema tu kwenye realm paka ni giantNasikia na paka ana roho Saba hii imekaaje
And that is according to who, you or biblical scripture?shetani sio jina ni utambulisho wa mlaaniwa, lucifer ni mlaaniwa shetani kwa Mungu Yehova lucifer its just a son, michaelbrother ni kakitu kadogo sana
biblia, ulitaka kujua yehova na lucifer ni father and son soma kitabu cha ayubu,And that is according to who, you or biblical scripture?
Hakuna kitu km hio ana roho moja tu, wacheni kujidanganya
ongeza nyama kidogo mkuuππππ big lie, sema tu kwenye realm paka ni giant
Son = Morning starulitaka kujua yehova na lucifer ni father and son
paka ana uwezo mkubwa kiroho ndo maana baadhi ya wachawi wa kati dunian wanamtumia kama amplifierongeza nyama kidogo mkuu
According to Bible maneno au Neno ni roho na Kama roho ni mbaya bhasi jua alitamkiwa laana ambayo ilitumika Kama Adhabu same applies kwa Daudi ambaye baada ya kuwahesabu Watu alijua kua amefanya kosa aka repent ( Badili mawazo kurudi ktk original state )Kilichofanya akupe hivyo vifungu ni Ili ujue kwann amesema Mungu &Shetani anaweza akawa ni kiumbe mmoja isipokuwa anafanya mambo tofaut kulingana mazingr na ndio maana kaanza na real object eg kisu,
Ili iwe rahisi kuelewa kwamba kisu kilekile ila kinafanya vitu viwili vyenye impacts tofaut, na ndio maana baadae akaja kwenye maandiko kuonyesha the same God anafanya vitu viwili tofauti light & Darkness, akaja Tena Kwa Saul from the same sorce inatoka roho njema na roho mbaya .
hii image kwako ni kubwa skip tuSon = Morning star
Son = Lion
Soma vizuri Bible