Mambo ambayo Yanafanya watu wengi waweke Fikra kwamba huenda dunia ni simulation au huenda hatuna free wills kama tunavyoambiwa case st JFK &Lincoln

Organisation zinazocontrol Uchumi wa Dunia pale juu kwenye Pyramid wanaamini amekaa Shetani Ila Shetani na Mungu ni mirror mirror on the wall

Emu wewe jitazame kwenye kioo unaemuona ni nani Mungu au Shetani?
okay, the perfection of universe it is its imperfection.
fallen angles ndo elites leaders,huyo mnae muita shetani napenda kumtania kumuita lord of fallens ndo top manyota, japokuwa inasemekana kuna viumbe sio binadam lakin havipatan na lucifer.
quantumly creation and destruction ndo rule,
ukumbuke yehova ana nafsi saba ukiitoa moja hawi tena mkamilifu,
spirit of the lord and lord him self are different things
 
Hii haiwezi kufikia Pdfdrive aisee ilikuwa poa sana hakuna kitabu utakosa pale..
Hii inabaki kuwa The Former big library books sahzi unaweza kuviona ila huwezi kuvichukua..
Mkuu pdf drive inagoma ku download vitabu huu mwezi wa 3 sasa, sijajua tatizo nini?
 
okay, the perfection of universe it is its imperfection.
fallen angles ndo elites leaders,huyo mnae muita shetani napenda kumtania kumuita lord of fallens ndo top manyota, japokuwa inasemekana kuna viumbe sio binadam lakin havipatan na lucifer.
quantumly creation and destruction ndo rule,
ukumbuke yehova ana nafsi saba ukiitoa moja hawi tena mkamilifu,
spirit of the lord and lord him self are different things
Nasikia na paka ana roho Saba hii imekaaje
 
IMG_20231224_222951.jpg
IMG_20231224_222545.jpg
 
okay, the perfection of universe it is its imperfection.
fallen angles ndo elites leaders,huyo mnae muita shetani napenda kumtania kumuita lord of fallens ndo top manyota, japokuwa inasemekana kuna viumbe sio binadam lakin havipatan na lucifer.
quantumly creation and destruction ndo rule,
ukumbuke yehova ana nafsi saba ukiitoa moja hawi tena mkamilifu,
spirit of the lord and lord him self are different things
Kwa hio unataka kusemaje Mungu ndio Shetani au Shetani ndio Mungu?
 
Kilichofanya akupe hivyo vifungu ni Ili ujue kwann amesema Mungu &Shetani anaweza akawa ni kiumbe mmoja isipokuwa anafanya mambo tofaut kulingana mazingr na ndio maana kaanza na real object eg kisu,

Ili iwe rahisi kuelewa kwamba kisu kilekile ila kinafanya vitu viwili vyenye impacts tofaut, na ndio maana baadae akaja kwenye maandiko kuonyesha the same God anafanya vitu viwili tofauti light & Darkness, akaja Tena Kwa Saul from the same sorce inatoka roho njema na roho mbaya .
According to Bible maneno au Neno ni roho na Kama roho ni mbaya bhasi jua alitamkiwa laana ambayo ilitumika Kama Adhabu same applies kwa Daudi ambaye baada ya kuwahesabu Watu alijua kua amefanya kosa aka repent ( Badili mawazo kurudi ktk original state )
Darkness inasimama upande wa laana/ adhabu.
 
Back
Top Bottom