Mambo gani huwa unafanya ukiwa na msongo wa mawazo ama mtu akikukera?

Mambo gani huwa unafanya ukiwa na msongo wa mawazo ama mtu akikukera?

Mkazo ukizidi vaa viatu toka nje. Kuna dunia kubwa kuliko matatizo yako, hasira zako, mkazo au msongo wako.
 
Daah hiyo roho sinaga nina usiri sana kwa mtu ninae mjua nimwambie kabisa changamoto haswa zakimahusiano mfano hapo ngumu hii imefanya mpka keso kuna dada nilishaachana nae miaka nane ilopita lakni baadhi ya rafik zangu wana amini bado tupo wote na wanamtreat as shemej yao.
Eeeh hii kali sana mkuu
 
Naimba sana nyimbo za kuabudu na kusifu… nasoma neno…! NASALI, kisha NAOMBA namalizia na KUSHUKURU Mungu. Moyo unakuwa mwepesi [emoji120][emoji120]
 
Mwaka 2022 nilikuwa na stress zisizoisha, nikaenda duka fulani kubwa wanauza vitu vitu, nikanunua maviatu kama pair 4 kama 600,000 nafika nyumbani ndo akili inanijia. Nilivaa pair 2 moja niligawa na moja niliirudisha dukani. Siku hizi ndio naweza labda kusikiliza music au kwenda kutembea sehem ambayo najua sitakutana na mtu ninaemjua na kula chakula nnachokipenda.
 
Eeeh hii kali sana mkuu
Amini mkuu hii pia imesababishwa hata uyo dada pia sio mtu wakuongea ongea mambo yake ovyo kabisa na kingine nilizaa nae so hata muda mwingine uwa tunaonana kwa habari za mtoto so watu wanajua bado tunalisongesha kumbe kila mtu kasha move on kitambo sna.
 
Amini mkuu hii pia imesababishwa hata uyo dada pia sio mtu wakuongea ongea maga mbo yake ovyo kabisa na kingine nilizaa nae so hata muda mwingine uwa tunaonana kwa habari za mtoto so watu wanajua bado tunalisongesha kumbe kila mtu kasha move on kitambo sna.
Unapashaga viporo na yeye!
 
Unapashaga viporo na yeye!
Ilikuwa mwanzoni hivyo ila nilikata ghafla baada yakuhamishwa kikazi mkoa mwingine baadae nikarudi alipo yeye sema ni vile tunaelewena tu na alishaolewa na kilichofanya nikate kupasha kiporo uyo mumewe ni peace sana.
 
Ilikuwa mwanzoni hivyo ila nilikata ghafla baada yakuhamishwa kikazi mkoa mwingine baadae nikarudi alipo yeye sema ni vile tunaelewena tu na alishaolewa na kilichofanya nikate kupasha kiporo uyo mumewe ni peace sana.
Ohh kumbe ulikuwa unamla akiwa kaolewa!!
 
Mimi huwa natafutaga mdada mmoja mrembo namuomba anipe Tight hug kama la 10 - 15 min, hapo unajikuta stress zote zina ondoka
 
Ohh kumbe ulikuwa unamla akiwa kaolewa!!
Hpn mkuu mwanzo kabla hajaolewa then mm nikahamishwa mkoa mwingne kikazi hapo ndiyo tukapitezeana ila mawasiliano yalikuwepo nliporud mkoa alipo baada ya muda akaolewa ila alikuwa tyr kutoa tunda lkn ilikuwa ndy mwanzo na mwisho coz jamaa yake ni mtu sana ukiachana tu na kuwa mke wa mtu sumu ila kwa heshima ya jamaa yake siwez hata kwa bahati mbaya jamaa ni mtu poa sana sanaa na uwa tunasaidiana sana kwenya mambo kadhaa.
 
Nikiwa kwenye depression nawalaumu wazazi kwanini walinileta duniani [emoji1787][emoji1787] Nikitoka katika hiyo hali najiona mjinga sana, lakini inanisadia.
 
Back
Top Bottom