Mambo gani huwa unafanya ukiwa na msongo wa mawazo ama mtu akikukera?

Mambo gani huwa unafanya ukiwa na msongo wa mawazo ama mtu akikukera?

Mimi nafanya hivi
1. Nakula vizuri, chakula nachokipenda
2. Natoka kwenda kutembea
3. Nalala
4. Nalia sanaaaaaaa
5. Naenda kununua nguo mpya
6. Nafanya usafi
Na mengine mengi

Wewe je?
Lengo ni kuwapa experience wanaopitia wakati mgumu,wanaweza kupata ideas mbili tatu

Uzi tayari

Pia soma: Upweke : Fahamu viashiria vya upweke,vyanzo vyake na madhara yake & njia 4 za ufumbuzi
Natafuda demu mpya kwangu nikaipige kisawa sawa baada ya hapo hasira inakwisha maisha yanaendelea
 
Najifungia Room nalala,
Au natoka nje Kuzurura kwa mashost nipate umbea, natulia tulii.
 
Back
Top Bottom