Mkuu inabidi unipe somo la meditation hapa, ili niwe nafanya kila day, "meditate" maana yake nini naona inarhyme na medicine !Meditation aina yoyote ile sio lazima ukae kama budha unaweza kutembea Inaitwa 1.Walking meditation 2. Kuwa mwenyewe pia inaweza kuwa aina ya meditation Mindfullness 3. Prayer pia inaweza kuwa aina ya meditation.
Aisee mazoezi na kugegeda muhimu sanaKwema wakuu
Mambo gani ambayo ni muhimu kuyafanya kila siku? kwa ustawi wa maisha bora; kiafya, kiuchumi, kijamii na kifamilia
Waweza kushare maoni yako hapo chini ni bure kabisa haulipii!
Maana yake hasa ni kuwa present with your consciousness au with your thoughts lakini uache mawazo usiwe usiytilia maanani, ni ngumu kufanya ila ukienda taratibu utazoea, me huwa napendelea zaidi Walking meditationMkuu inabidi unipe somo la meditation hapa, ili niwe nafanya kila day, "meditate" maana yake nini naona inarhyme na medicine !
Imekaa poa sana na unafanya kila siku mkuu?Maana yake hasa ni kuwa present with your consciousness au with your thoughts lakini uache mawazo usiwe usiytilia maanani, ni ngumu kufanya ila ukienda taratibu utazoea, me huwa napendelea zaidi Walking meditation
Muhimu ni kuwa consistent bro... Do what you believe...Absolutely mkuu [emoji817]
Leo nimejifunza usikikatie kitu/mtu tamaa SSC yuko final sikuwahi kudhani ingetokea tena ndani ya miaka mitatu tangu wenzake wafike!
Hapana....kegel tunanyanyua vyuma mzeyahaha ni mazoezi yale wanaita kegel a.k.a kegegedo 😀
😀 mkuu kwa maelezo hayo itoshe kusema, nipe location mzabzab gym ilipo nijeHapana....kegel tunanyanyua vyuma mzeya
Bench press
Squats
Forward lunges
Deadlift
Dips
Planks
Plyometrics
Aise baada ya hapo ukimkamata demu unashenyenta mbususu mpaka raha
Kabisa Mkuu chagua jambo unaloliamini lipiganie kwa nguvu zote nomarawaa don give up on itMuhimu ni kuwa consistent bro... Do what you believe...
Mara Bilioni mara trillion mara zote uwezavyo... Hata kama unaona hauwezi keep doing it ...
Ndo hivyo arawa.. alafu Ile tabia ya Kukonform kutaka kufanana tupa kuleee...Kabisa Mkuu chagua jambo unaloliamini lipiganie kwa nguvu zote nomarawaa don give up on it