Ah mie nipiga zile gym za kitaaa....makopo ya rangu na zege jingi😀 mkuu kwa maelezo hayo itoshe kusema, nipe location mzabzab gym ilipo nije
Ah mie nipiga zile gym za kitaaa....makopo ya rangu na zege jingi😀 mkuu kwa maelezo hayo itoshe kusema, nipe location mzabzab gym ilipo nije
Ewaaa....hiyo ndio yenyeweHaha unakuta kopo la kulia kubwa kuzidi la kushoto mzeya hapo ni kisanga unajaza upande mmoja 😀
Sio kila sikuImekaa poa sana na unafanya kila siku mkuu?
Miruko tuu hiyo mwanawane wala usizdhani mazoezi apecial, chingereza tuubwembwe nyingi.Haha sawa mkuu asante kwa mwongozo unaweza kuweka picha moja ya Pyrometrics (animated)
Nice & Lovely uko genuine sana na maelezo yako, daily routine imepangiliwa bossladyKabla sijaongea na yeyote, nikiamka Nasali na kuomba, kufanya mazoezi hii niko ON/OFF ila kwasasa nazingatia, nimeongezeka kilo nyingi. Kuoga muda mrefu, napenda sana maji kama bata
Kusalimiana na my Man tuko na long distance relationship. Kusoma E-mails, habari za dunia na kujiandaa sasa kwa siku nzima. Mimi si mpenzi wa chai sinywi.
Hapana mzeya hii unaruka kweli kweli yaani unraruka kwenda juu usawa wa kimo cha mbuzianhaa kama tu Jumping jacks kumbe
Shabash! Umeelewaanha mithili ya wamasai warukavyo
Nakubaliana na wewe, anasoma na Email hicho kitu adimu sana kwa watanzania wengi kufanya👏🏻👏🏻👏🏻Nice & Lovely uko genuine sana na maelezo yako, daily routine imepangiliwa bosslady
Mshangazi dot com are you taking notes 🙂
Kuamka mapema i.e saa10-saa12 alfajiri
Shabash! UnajielewaKula, kulala na kusex. Mengine yote ni kwa ajili hiyo.
Ongeza bridge legs 🔥 🔥 🔥Hapana....kegel tunanyanyua vyuma mzeya
Bench press
Squats
Forward lunges
Deadlift
Dips
Planks
Plyometrics
Aise baada ya hapo ukimkamata demu unashenyenta mbususu mpaka raha
Kumuomba na kumshukuru MunguKwema wakuu
Mambo gani ambayo ni muhimu kuyafanya kila siku? kwa ustawi wa maisha bora; kiafya, kiuchumi, kijamii na kifamilia
Waweza kushare maoni yako hapo chini ni bure kabisa haulipii!
Wasipooga mbususu inaweza toa harufu ya panya aliyekufa wiki 😂chini ya uvunguHaha hio ni constant kwa jinsia yenu