Mambo gani ni muhimu au lazima kuyafanya kila siku?

Umuhimu wa kuamka mapema ni upi? Coz i hate it
1. Kuanza kazi mapema, unapoanza mapema unamaliza mapema unakuwa na muda zaidi.

2. Kufocus zaidi, asubuhi mapema kuna kautulivu fulani hivi amazing, unaweza kukaita peaceful quietude! Hivyo kama unafanya jambo unalifanya kwa ufanisi zaidi.

3. Kuwahi usafiri, kwenda kazini, au kama unasafiri mikoani kuwahi kuamka kunasaidia.

4. Kama ni mtu wa mazoezi, alfajiri ni mda poa sana.

5. Morning prayers ni nzuri sana kama unafanya hivyo unaamka na baraka tele tena mapemaaa!

6. Kuwahi kuamka mapema kunasaidia kuwa na afya njema ya ngozi na mwili kiujumla, jua la mapema lina vitamins, mifupa inaimarika.

7. kama upo kwenye mahusiano chaasubuhi saa11 hivi kinanoga sana na ule ubaridi oh mamasita tequero mi amor'e
 
Zoezi
kula matunda & chai ya tangawizi.
Kusoma kitabu kwa dk 10-15.
Kufatilia fursa mbali mbali in & outside ya nchi yako(Kuna platform).

Kuwa na kikao na Wana harakati wenzio kuhusu fursa mbali mbali.
Recuperation muhimu sana.

Over analysing movement zako za siku nzima, hata Kama uli kohoa Kumbuka na uitazame kwa makini.
Swadakta mkuu kuna muda mtu unafocus mpaka unakumbuka mwaka juzi tarehe 3 juni ulikula mlo gani
 
Thank God #7 haina haja ya kuamka ile kutoka kitandani
Hizo zingine zilizobaki kwangu mie sio lazima kabisaaaaaa

Binafsi kitendo cha kutakiwa kuamka mapema na kutoka kinanitia hasira...hakinipi utulivu amazing uliotaja #2 😆😆
 
Thank God #7 haina haja ya kuamka ile kutoka kitandani
Hizo zingine zilizobaki kwangu mie sio lazima kabisaaaaaa

Binafsi kitendo cha kutakiwa kuamka mapema na kutoka kinanitia hasira...hakinipi utulivu amazing uliotaja #2
Hahah sikupingi mkuu, watu tumetofautiana circadian rythm ya miili yetu hivyo huenda wewe hupendi ila mwingine apenda na mwili wake unakubaliana na hilo haoni tabu kabisa!
 
ukimuiga huyu dogo utapotea tunza nguvu zako kugegeda kuna maliza mwili akili na roho
Weee kwendraaa huko kugegeda muhimu sana. Sii unaonangenius wa mpira pep alikuwa hapati mbususu man city ikawa mdebwedo...lakini sasa anarudisha mapenzi kwa mke wake anapata mbushsh man city wanajipigia tuu. Na next season atabeba ubingwa.

Mbususu muhimu sana kwa both genders.
 
Herzogg tia neno mkuu 😀 man city ipo bora sababu ya pep kapata mgegedo
 
Mi Kila nikiamka nasoma kitabu around kurasa zisizopungua kumi, halafu najiswafi then naanza kudai madeni hahaha
Hahahah kudai madeni! ni kazi yako mkuu au ni madeni personal
 
Back
Top Bottom