Mambo gani ni muhimu au lazima kuyafanya kila siku?

Mambo gani ni muhimu au lazima kuyafanya kila siku?

ndio kiongozi maana emails 200 sio mchezo
Ni zile promo mails na zile una accounts kwenye websites mbali mbalimbali na notifications za social networks kama LinkedIn,IG,FB,JF na the like. Hata 50 tu kufika ni kipengele.

200 mails sio mchezo kaka.
 
Nipe mwongozo mkuu niwe napata maokoto kwenye hilo pia
 
Thank God #7 haina haja ya kuamka ile kutoka kitandani
Hizo zingine zilizobaki kwangu mie sio lazima kabisaaaaaa

Binafsi kitendo cha kutakiwa kuamka mapema na kutoka kinanitia hasira...hakinipi utulivu amazing uliotaja #2 😆😆
Binafsi nashukuru Mungu nina option ya kuamua niamke au niendelee kuzima.

sema mimi ni night owl na early kunguru, so naonaga kawaida.
 
Back
Top Bottom