We ustadhi mkuu au hzo ni practice za maulid na kupatia maustadhati 😁😁😁jambo la kheri kabisa Janatul firdaus inakufaa
me sio ustadhi chief, ni kitu nasikiaga kwenye hadith za kiislam ya kuwa kuna pepo ya juu kuliko zote kuifikia yahitaji thawab nyingi sana, kupitia matendo na swalaWe ustadhi mkuu au hzo ni practice za maulid na kupatia maustadhati
Sema kweli kuwa ulijifunza hyo ili upate maustadhatime sio ustadhi chief, ni kitu nasikiaga kwenye hadith za kiislam ya kuwa kuna pepo ya juu kuliko zote kuifikia yahitaji thawab nyingi sana, kupitia matendo na swala
Mpaka ziwe ni profit oriented mkuu, au uwe mtu wa Upwork, Fiverr, TaskRabbit, Shutterstock, na Swagbucks.Nipe mwongozo mkuu niwe napata maokoto kwenye hilo pia
😂😂😂😂😂😂😂haha mkuu tuache ya juu nieleze kuhusu hili tu, kivipi?
Binafsi nashukuru Mungu nina option ya kuamua niamke au niendelee kuzima.
sema mimi ni night owl na early kunguru, so naonaga kawaida.
Missed you comrade,Comrade umetaja sifa za jobless pro max kwa kutumia mistari miwili tu 🤣
Missed you zaiiiid comrade, siku moja nilikutag kule KoreaMissed you comrade,
Naam kidumu chama Cha ma jobless pro max 😂 🤣, Mimi ndio raisi wao.
Hizi wiki kadhaa nili kuwa bize kweli kweli, sema I'm back.Missed you zaiiiid comrade, siku moja nilikutag kule Korea
Kidumu chama tawala cha jobless pro max
Ukiingia kwenye ule uzi utaona,ni page ya mwishoHizi wiki kadhaa nili kuwa bize kweli kweli, sema I'm back.
uli nitag Nini?, twendeko.
sikupingi ankol lakini yote yanawezekana ukiamua na ukipangilia ratiba sawa.Naona humu wote ni wafanya biashara, mwajiriwa hawezi jipangia anaamkaje. ni kufata taratibu za boss tu ili kulinda mkate wako, unalala saa tano usiku unaamka saa kumi na mbili unajiandaa kibaruani kutafuta tonge.
Muda wa tizi, sijui meditation utaisoma tu hapa jf.
Ina-depend mkuu na clients na execution ya task zakoanha kati ya hizo ipi inalipa vizuri