Mambo gani ni muhimu au lazima kuyafanya kila siku?

Mkuu kama unataka kuw tajiri au uwe na pesa, achana na mapenzi bora ufanye self semen retention ejaculated

Mfano mimi nina mwaka mzima na miezi saba sijaona mwanamke akiwa welele na nashukuru Mungu mpaka sasa ni milionea yaani nina pesa kiasi ambacho naweza jinunulia chakula na nguo mwenyewe
 
mkuu mbona maelezo mengi mwambie maneno ni mawili tu YAKUZ & YAVUZ
 
Back
Top Bottom