Mambo gani yana/yamekufanya usiwe na marafiki wengi?

Joanah

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
26,721
Reaction score
98,896
Hi people,
Happy weekend!!

Mambo gani yanakufanya usiwe na marafiki wengi?

Mie sababu kubwa ni kupishana interests(experience yangu ya 2-3 years back)
Rafiki zangu wanapenda bata while mie sio mpenzi wa bata
Rafiki zangu ni aina ya watu wanategemea tukienda mahali mfano restaurant,bar itafanyika namna yoyote tu atokee mwanaume/wanaume atakaye-cover bills zetu, kutununulia zaidi na kuacha some cash

Nashindwana na aina hii ya marafiki,bahati mbaya ni wengi wapo hivi so nimebaki nina watu ninaofahamiana nao tu lakini sio marafiki

Uzi tayari
 
Usinitch
 
Zamani tukiwa watoto nilikiwa na marafiki tunaopendana kwelikweli ila kwa sasa watu ni wanaa sana... Ukikaa vibaya unakopwa kisha unageuzwa adui, ukikaa hivi unapelelezwa ili utandikwe za uso, hujakaa sawa unajikuta unashughulishwa kwenye mambo ambayo hayana maslahi na maisha yako alafu pia unaweza kubadilishiwa kitu chako cha thamani ukapachikwa kimvuli kinachotembea

Bora pombe zangu ninywee nyumbani hata nikiharibu mama watoto ataniburuza hadi ndani kisha atafunga mlango 🤨
 
Eeeh!! Kukopeshana hapo sitaki hata kuliongelea 🙌🙌
 
Kula ovyo
IMG-20250830-WA0015.jpg
 
Back
Top Bottom