Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Mmoja mwaya 😌Duuh....amewadinya marafiki zake wote?
Mmoja mwaya 😌Duuh....amewadinya marafiki zake wote?
Uki toa online, basi kimtaa mimi sina marafiki kabisa.
Chanzo ni Mtazamo, mwenendo na hata maamuzi ya kile tunacho kipigania au kabili.
#rafiki yangu pekee ni sibling wangu wa mwisho na paka wangu.
Mimi ni mtu nayependa upweke sana na ukimya,hivyo sina marafiki wengi kabisa,na baadae rafiki zangu tuliotokea utotoni wakafariki basi kwa sasa rafiki zangu ni hawa wake zangu 2,watoto wangu basi.Nipo kimyaaa hata baa nayokwenda kunywa huwa nakaa kona moja iliyojificha kabisa.Hi people,
Happy weekend!!
Mambo gani yanakufanya usiwe na marafiki wengi?
Mie sababu kubwa ni kupishana interests(experience yangu ya 2-3 years back)
Rafiki zangu wanapenda bata while mie sio mpenzi wa bata
Rafiki zangu ni aina ya watu wanategemea tukienda mahali mfano restaurant,bar itafanyika namna yoyote tu atokee mwanaume/wanaume atakaye-cover bills zetu, kutununulia zaidi na kuacha some cash
Nashindwana na aina hii ya marafiki,bahati mbaya ni wengi wapo hivi so nimebaki nina watu ninaofahamiana nao tu lakini sio marafiki
Uzi tayari
Wewe mtu hatari..... na sisi wa kiume tufanyeje sasa urafiki udumu kama nyie mnadinyana.Mmoja mwaya 😌
Uliodhani ni marafiki wakati wa shida wakakuonesha rangi zao za kwelijapo kusaidiana si lazima...
ila mimi ni mwepesi sana kusaidia na mzito kuomba...
nilipopoteza kazi na familia inanitegemea...
na
kilichonitokea kwa niliodhani ni marafiki...
sasa hivi, nawathamini sana marafiki niliokua nao kule kijijini kuliko hawa wapuuzi wa karibu yangu hivi sasa...
Mvute bangi 😹😹Wewe mtu hatari..... na sisi wa kiume tufanyeje sasa urafiki udumu kama nyie mnadinyana.
She's 10, tume kuwa marafiki since kazaliwaKuwa na urafiki na ndugu yako is a blessing...
Nina sura ya “ SERIOUS WEEK”Hi people,
Happy weekend!!
Mambo gani yanakufanya usiwe na marafiki wengi?
Mie sababu kubwa ni kupishana interests(experience yangu ya 2-3 years back)
Rafiki zangu wanapenda bata while mie sio mpenzi wa bata
Rafiki zangu ni aina ya watu wanategemea tukienda mahali mfano restaurant,bar itafanyika namna yoyote tu atokee mwanaume/wanaume atakaye-cover bills zetu, kutununulia zaidi na kuacha some cash
Nashindwana na aina hii ya marafiki,bahati mbaya ni wengi wapo hivi so nimebaki nina watu ninaofahamiana nao tu lakini sio marafiki
Uzi tayari
Umejuaje wanakuogopa?Nina sura ya “ SERIOUS WEEK”
Wengi wananiogopa
Haitafanya kazi...Mvute bangi 😹😹
Mdinyane pia, ajabu iko wapii? Afu mnatunziana siri.Wewe mtu hatari..... na sisi wa kiume tufanyeje sasa urafiki udumu kama nyie mnadinyana.
Nimezungukwa na wakopaji au wale wanaopenda kuchukua vitu vya wenzao wakitegemea utawaelewa tu na utawazoea wakati ni tabia ambazo hazizoeleki
😹😹😹 Utarudi kwenu umekonda shauri yako..!!Haitafanya kazi...
Waambie mashosti wako soon natuma barua ya kuomba urafiki na nyie.
wale mbuzi walijua kunifundisha ilimu duniyaUliodhani ni marafiki wakati wa shida wakakuonesha rangi zao za kweli
😂😂😂 fala sanaUkitaka urafiki udumu kwanza mdinyane 😹😹