Mambo gani yana/yamekufanya usiwe na marafiki wengi?

Mambo gani yana/yamekufanya usiwe na marafiki wengi?

Bora tuvute bangi tu kama [shosti] yako alivyosema.
Mi nimekushauri vizuri umeona sasa..!! 😹😹😹
Wanawake hatuharibikiwi tukichoka tunaolewa tunabeba mimba tunazaa..!!

Ila nyie mkijaribu ndo ntolee mnapoteza ubingwa mpk marinda 😹😹
 
niulize mimi nilimkopea shost kikoba ili nimsave majanga 😀😀yoooh kumbe nilikua nampa nauli ya kwenda uarabuni hadi leo niko nalipa zangu deni kwa machungu
Mimi hapa nna maumivu hayaelezeki ndugu kaniliza wala sio shosti, nimelia kwa uchungu..!!

Nimeapa kukaa nae mbali sitaki tena ukaribu naye..!!
 
Back
Top Bottom