Mambo gani yana/yamekufanya usiwe na marafiki wengi?

Mambo gani yana/yamekufanya usiwe na marafiki wengi?

Umbea.. usaliti.. uongo.
Mwaka wa 1&2 tukawa vzuri. Mwaka wa 3 akaniulizaga kitu kuhusu staff flani, nyoko mm nikajimaliza kila nachojua!! Yule binti kumbe alikuwa na interest na yule kijana me hakuwa ameniambia,, akavipeleka kwa yule staff kama vilivyo na akaongeza chumvi.
Yule staff akanipigia simu usiku.. akanisuuza na nikapingaaa vizuri sana akachoka akakata simu.

Kesho asbh yule binti hata salamu yake nilishindwa kuitikia. Nilichukia ile enyewe kwanini amenisaliti 😂😂
Wanawake ni watu wabaya nambari oneee
Una urafiki nae, na yeye ana marafiki zake ambao sio rafiki zako. Hapo kuuziana taarifa nje nje. Better being alone, wabaki mnafahamiana kikawaida..
 
Kuna miaka fulani nilikuwa na marafiki wengi sasa baadae nikafilisika wakapotea wote basi kuanzia kipindi hicho nikachukia mambo ya kuwa na marafiki.
Lakini kitu kingine kinachonikera marafiki wengi tukitafutana wanataka tukutane kwenye bar,na tukikaa kwenye bar wanataka wanywe na kula lakini hawalipi bili wanataka uwalipie wao wanaleta story tu kwa hiyo kwa upande wangu naona ni kutiana hasara tu.
So kwenye kila maeneo ninayoishi huwa nahakikisha nakuwa na rafiki mmoja tu ambaye mindset zetu zinaendana kwa ajili ya kubadilishana mawazo na mambo mengine ya dharura.
Marafiki ni wanafiki sana wengi wapo kwa ajili ya kukuchunguza kisha baadae anakusnitch,ndio utashangaa siku mnaonaga yale matukio mtu amehifadhi pesa nyingi ndani kimyakimya kisha anavamiwa na majambazi basi ujue marafiki ndio huwa wanalengesha mchoro kwa majambazi.
 
Umbea.. usaliti.. uongo.
Mwaka wa 1&2 tukawa vzuri. Mwaka wa 3 akaniulizaga kitu kuhusu staff flani, nyoko mm nikajimaliza kila nachojua!! Yule binti kumbe alikuwa na interest na yule kijana me hakuwa ameniambia,, akavipeleka kwa yule staff kama vilivyo na akaongeza chumvi.
Yule staff akanipigia simu usiku.. akanisuuza na nikapingaaa vizuri sana akachoka akakata simu.

Kesho asbh yule binti hata salamu yake nilishindwa kuitikia. Nilichukia ile enyewe kwanini amenisaliti 😂😂
Wanawake ni watu wabaya nambari oneee
Una urafiki nae, na yeye ana marafiki zake ambao sio rafiki zako. Hapo kuuziana taarifa nje nje. Better being alone, wabaki mnafahamiana kikawaida..
Ungeijibu salamu yake kwa nyodo kuu
 
Back
Top Bottom