cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
😂😂😂😂😂Umejua kuupaka rangi umbea wako🤣🤣🤣
Na sisutwiiii kamweee, ila umbea siachi ng'ooo
😂😂😂😂😂Umejua kuupaka rangi umbea wako🤣🤣🤣
Unaenda wapi?Nitarudi
IlaSiwezi 😀
Roho yangu ikikukataa imekataa
Hata uwe unalia hapo sikuulizi unalilia nini.
😅😅 ipo siku ukija tu tunakufunga kamba,Nitarudi
Leo manjesta si tunacheza bwashee ?😅😅 ipo siku ukija tu tunakufunga kamba,
Ulichoandika sio cha mnywaji ni cha walevi bro.Nakunywa isiyo ma kilevi kikali mkuu😅
Ndio saa kumi na mojaLeo manjesta si tunacheza bwashee ?
😂😂😂😂😂Yaani sipendi unasema kitu na mtu halafu baadae unakikuta mtaa wa pili😁,,aisee sipendi me, hekaheka siziwezi,
Huo sio urafikiHi people,
Happy weekend!!
Mambo gani yanakufanya usiwe na marafiki wengi?
Mie sababu kubwa ni kupishana interests(experience yangu ya 2-3 years back)
Rafiki zangu wanapenda bata while mie sio mpenzi wa bata
Rafiki zangu ni aina ya watu wanategemea tukienda mahali mfano restaurant,bar itafanyika namna yoyote tu atokee mwanaume/wanaume atakaye-cover bills zetu, kutununulia zaidi na kuacha some cash
Nashindwana na aina hii ya marafiki,bahati mbaya ni wengi wapo hivi so nimebaki nina watu ninaofahamiana nao tu lakini sio marafiki
Uzi tayari
Unajua nn inategemea na huyo mtu, mie ni mbea, mkuda, mdaku, na mpashkuna, ila kamwee sijawahi sutwa, kwann nacheza na mipakaa.
Rafiki angu tukikaa, tutasogoa had bas, ila tumeweka mipaka no kutoka nje yetu..
Raha ya umbea muwe mnaujua codes zake.
😂😂😂😂😂
Mie umbea nna mtu wangu wa kufanya nae. Sikurupukii.
Yaan natembeaa kwenye chakii tyuuh.
Yeah,umbea nafanya na madogo zangu maana tunaendana sote,😂😂😂😂😂

Shukuru mimi nilishawaamini mwishowe waliniliza vibaya hadi nikajuta kwa hisani niliyotoa, sema nimejifunzaHawa wanafiki inaonekana wapo wengi
Mie hii sample ya wanafiki sijakutana nayo
🫠 na hamtonipata kamwe😅😅 ipo siku ukija tu tunakufunga kamba,
Kupunga upepo nje 🫢Unaenda wapi?
Punga hapa hapa😊Kupunga upepo nje 🫢
ChaiHi people,