Mambo gani yana/yamekufanya usiwe na marafiki wengi?

Mambo gani yana/yamekufanya usiwe na marafiki wengi?

😁😁😁😁,,wanawake wambea sana,
Unajua nn inategemea na huyo mtu, mie ni mbea, mkuda, mdaku, na mpashkuna, ila kamwee sijawahi sutwa, kwann nacheza na mipakaa.
Rafiki angu tukikaa, tutasogoa had bas, ila tumeweka mipaka no kutoka nje yetu..

Raha ya umbea muwe mnaujua codes zake.
😂😂😂😂😂
 
Umejua kuupaka rangi umbea wako🤣🤣🤣
 
Mhmm..!! Haipo hiyo 😹😹
Ubingwa ukivuliwa nguvu hamna tena..!!

Wale wa kina husna wanachagua leo dildo kesho ukuni wa mwanaume full brudaaanii..!! 🤣
Na aibu yao sio km ya wanaume, si umeona tushasahau..!! Wanaonekana km brat 😹
Ila men lazima wazazi walie kwa uchungu
Uduguu wee hujuagii! Na tatizo hutanielewa.
Ngoja nikusamaraizie.

Wakati niko chuo, kuna mdada nilijuana nae kupitia class mate, sasa ile tukawa mabest kimtindo, sasa kuna siku yeye mdada akasema tutoke, thou mie sina interest na kutoka. Ila nilikubali,

Bas tukasogea maeneo, mate na yule mdada walikua na BF zao pale, mie nilikua lonely. Sasa yule mdada BF wake na wamezaa pia 1 kid, nilivyomuona na kukaa nae pale, nika notice kitu yule jamaa anakula na kuliwa yaani Verse, ukimuona huwezi amini km ni homo, kanyooka haswa, yuko ki Gentleman haswaa.

Tulivyotoka palee, nikamsanua mate, kuwa yule dada BF wake ni homo, mate alipinga na kukataa, had kusema nawawazia mabaya watu km nn, sasa nikamuambiaje usimuambie yule mdada, baadae akasemaje ngoja nimsanue ili amchunguze, bas wakasanukiana huko, mdada akaanza kumchunguza BF wake.

Mie nikakausha zangu, ukapita km mwezi, mate ananambia alooh coca, kweli yule jamaa ni homo, ni anakula na kuliwa, na ana mtu kazini kwake ndo wanakulanaaa.

😂😂😂😂😂😂 nilicheka ile siku, mate anasemaje, sasa had wamezaa, inawezekanaje? Mbna kwa kitanda yuko vizuri anasema yule mdada, nikaishia kumuambia tatizo la wabongo mkisikia Homo mnawaza km ni Delicious, Agrrey, etc kumbe sivyo.

😂😂😂😂😂😂
 
Yaani sipendi unasema kitu na mtu halafu baadae unakikuta mtaa wa pili😁,,aisee sipendi me, hekaheka siziwezi,

Back
Top Bottom