Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,613
- 56,787
Kuepusha miluzi mingi katika mambo yangu
Mimi sina hela halafu wana wanamkwanja , naingia kibaruani jumatatu hadi jumapili.Hi people,
Happy weekend!!
Mambo gani yanakufanya usiwe na marafiki wengi?
Mie sababu kubwa ni kupishana interests(experience yangu ya 2-3 years back)
Rafiki zangu wanapenda bata while mie sio mpenzi wa bata
Rafiki zangu ni aina ya watu wanategemea tukienda mahali mfano restaurant,bar itafanyika namna yoyote tu atokee mwanaume/wanaume atakaye-cover bills zetu, kutununulia zaidi na kuacha some cash
Nashindwana na aina hii ya marafiki,bahati mbaya ni wengi wapo hivi so nimebaki nina watu ninaofahamiana nao tu lakini sio marafiki
Uzi tayari
Ni ukweli😁,,, mtaani ni hivyo vijana mie ni aunt yao,,,,,,nikuambie kitu mie ata nilienda hospital au popote sipendi nipewe huduma na mwanamke mie😎Wee mlongo em sema kwelii?!
Unanicheka mwenzako nna maumivu ujue 😹😹😹😂😂😂😂😂
Mbna hata wanaopoteza ubingwa na marinda wanaoa na wanazalisha.Mi nimekushauri vizuri umeona sasa..!! 😹😹😹
Wanawake hatuharibikiwi tukichoka tunaolewa tunabeba mimba tunazaa..!!
Ila nyie mkijaribu ndo ntolee mnapoteza ubingwa mpk marinda 😹😹
😂😂😂😂😂 mlongo jamaniiii.Ni ukweli😁,,, mtaani ni hivyo vijana mie ni aunt yao,,,,,,nikuambie kitu mie ata nilienda hospital au popote sipendi nipewe huduma na mwanamke mie😎
Hahaha hii nzuri sana , nilikua nafaki yangu mmoja wa kike tulikua tunakunywa , asubuhi tunajikuta tumelala mzungu wa nne😅😅Ni ukweli😁,,, mtaani ni hivyo vijana mie ni aunt yao,,,,,,nikuambie kitu mie ata nilienda hospital au popote sipendi nipewe huduma na mwanamke mie😎
Sare umeandaa? Mie navaa kininja. Km wanawake wa Afaghanstan.Unanicheka mwenzako nna maumivu ujue 😹😹😹
Vipi harusini tunaenda sasa? 🤣
😂😂😂😂😂Walimwengu wabaya sana 😂😂
Ukamtafutia mtu nauli ya Uarabuni 🤣
Utadinywa na wangapi?Ukitaka urafiki udumu kwanza mdinyane 😹😹
Humu naona kila mtu yeye alikua mzuri ila wabaya ni hao waliokua rafiki zake.Hi people,
Happy weekend!!
Mambo gani yanakufanya usiwe na marafiki wengi?
Mie sababu kubwa ni kupishana interests(experience yangu ya 2-3 years back)
Rafiki zangu wanapenda bata while mie sio mpenzi wa bata
Rafiki zangu ni aina ya watu wanategemea tukienda mahali mfano restaurant,bar itafanyika namna yoyote tu atokee mwanaume/wanaume atakaye-cover bills zetu, kutununulia zaidi na kuacha some cash
Nashindwana na aina hii ya marafiki,bahati mbaya ni wengi wapo hivi so nimebaki nina watu ninaofahamiana nao tu lakini sio marafiki
Uzi tayari
😁😁...................wasiwasi wako tu........
Duh fanya namnaHumu naona kila mtu yeye alikua mzuri ila wabaya ni hao waliokua rafiki zake.
Miaka kadhaa nyuma nilikua na hali mbovu sana ya kiuchumi kwa sababu kuna namna nilijichanganya nikawa na majukumu mengi halafu sina kazi yoyote so nilijiajiri kuwa afisa ubashiri, ili nipate hiyo pesa ya kuipeleka kubetia nilikua napiga sana vizinga washkaji na kuwakopa halafu nashindwa kurudisha mana mikeka ilikua haichaniki bali inaungua.
Marafiki wengi niliwapoteza kwa sababu ya kuwakopa bila kuwalipa, nikapoteza wengine kwa sababu ya vizinga.
Maisha yanaendelea, nilitafuta kibarua cha kufanya japo hakina kipato cha kueleweka lakini nilijifunza kuishi kulingana na kipato changu, ila marafiki ndo nilishapoteza na baadhi yao walikua watu poa sana.
Hahaha hii nzuri sana , nilikua nafaki yangu mmoja wa kike tulikua tunakunywa , asubuhi tunajikuta tumelala mzungu wa nne😅😅
Unajia,sipendi umbea,sipendi kuongea sio muongeaji,ni sipendi hekaheka,,,Hahaha hii nzuri sana , nilikua nafaki yangu mmoja wa kike tulikua tunakunywa , asubuhi tunajikuta tumelala mzungu wa nne😅😅
Mhmm..!! Haipo hiyo 😹😹Mbna hata wanaopoteza ubingwa na marinda wanaoa na wanazalisha.
Au unadhani wote wako km kina Delicious? Hata yeye yule akitaka kuzalisha au kuoa mbona fresh tyuuh, km ukuni unasimama na mbegu zinafanya kazi.
Sasa km wee cheki ile video ya wale wadada, lile li Dildo dada anagugumia kwa maumivu ya lile li plastic, bora vidampa wanaokazwa na nyama ngumu.
Ila plastic woiiiiiih, 😂😂😂😂😂😂
Umri tu, unavyozidi kwenda najikuta mwenyewe mwenyeweHi people,