Mambo gani yana/yamekufanya usiwe na marafiki wengi?

Mambo gani yana/yamekufanya usiwe na marafiki wengi?

japo kusaidiana si lazima...

ila mimi ni mwepesi sana kusaidia na mzito kuomba...

nilipopoteza kazi na familia inanitegemea...

na

kilichonitokea kwa niliodhani ni marafiki...

sasa hivi, nawathamini sana marafiki niliokua nao kule kijijini kuliko hawa wapuuzi wa karibu yangu hivi sasa...
 
Back
Top Bottom