Mambo gani yana/yamekufanya usiwe na marafiki wengi?

Mambo gani yana/yamekufanya usiwe na marafiki wengi?

Karibu jamiiForums,. Leo Kila mtu yeye Hana rafiki ,. Hana mazoea na watu while kila siku nyuzi rafiki yangu kafanya hivi mara vile,

Anyways,.. Sina rafiki ambaye Yuko perfect tunaweza kutofautiana kwenye hili tukapatana kwenye lile,. Leo mtakwazana Kesho mtafurahishana,. Mtaongea umbea mtasnitchiana mtasutwa lakini tunaishi hivyohivyo kwasabu mwenywe ni snitch vilevile kwenye Kona Zangu, tukibambana tunaombana misamaha hata ya kinafki tunaishi,. Sema kwenye hela ndio tunaumizanaga Sana ila ndio vitu vinatufanya urafiki wetu uchangamke😂😂

Chamsingi Tu sio wengi,. Watatu tunatoshana Sanaa,.🤸🤸
 
niulize mimi nilimkopea shost kikoba ili nimsave majanga 😀😀yoooh kumbe nilikua nampa nauli ya kwenda uarabuni hadi leo niko nalipa zangu deni kwa machungu
Sitakaa nimkopee mtu hela. Kama sina ndio basi tena.
 
Back
Top Bottom