mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 7,894
- 22,679
Absolutely 💯Hii mbinu ya kivita sana na imetumiwa maelfu kwa maelfu, binafsi siwezi kudinyana na mtu ninayefanya nae kazi, mtu ninayeishi nae mtaa mmoja, wala rafiki,
Absolutely 💯Hii mbinu ya kivita sana na imetumiwa maelfu kwa maelfu, binafsi siwezi kudinyana na mtu ninayefanya nae kazi, mtu ninayeishi nae mtaa mmoja, wala rafiki,
Karma is a bitch! Sasahivi nikiwaangalia nacheka kimoyomoyo😄😄Pole sana mkuu hata mimi yalishanikuta sina hamu na marafiki
Sihitaji marafiki labda badae akitokea//Nilitamani kuwa mjamaa, niwe na genge kama nature(tmk wanaume).
Wachache niliofanya wakang'aa wanaweka maisha yangu danger
Mi sieleweki kamweNakuelewa mimi
Eeeh hivo hivo 😹Na unanyoa kiduku kama husna
Mi na wewe kama adam na hawaMi sieleweki kamwe
mchawi wewe🤣Mi na wewe kama adam na hawa
Mi reply zako tuu nafurahi sana..mchawi wewe🤣
MxiiiiiuuuuMi reply zako tuu nafurahi sana..
insha'Allah Mungu atafanya kitu na tutakua sawa tu dr
Nadhani kwa ulivyojieleza hivyo, mimi ndo mwanaume pekee ambaye naweza kuishi na wewe, kama unabisha jaribu uoneMi ndio rafiki mbaya 🤣 rafiki kimeo, rafiki kileja.
Mbinafsi mno na muda wangu, ukiona nimefanya kitu jua ni kwasababu nimetaka, huwezi kunipeleka sehemu nisiyotaka, huwezi kunifanyisha nisichotaka, peer pressure/ society pressure has nothing on me. Mama yangu kanizaaga mvivu mnoooo.
I don’t show up for people, Sitembelei watu, Sipigi simu, (hili wameanza kunikanya toka secondary kuwa we hupigagi simu) Wote wameshawahi kuja kwangu kote Dom na Dar ila mi sijawahi kwenda makwao. Kama hatujaonana in person sitakaa nikwambie jambo langu, na tukionana in person nachagua vyakukwambia, wakati unakuta wewe ushaniambia kila kitu/vingi zaidi. Sisikilizi ushauri wa mtu, na hata nikisikiliza jua nitafanya navojua mimi 😅 Wanasemaga umetupiga tukio. Mi ndio yule mtu unaweza kukaa hapo ukanishauri kitu kumbe nishafanya zamani.
Kwahiyo washanijua tunaishi hivyo hivyo kitaalamu, wameamua watafute marafiki zao wengine nimebaki na mmoja tu ndio kaamua anivumilie. Namshukuru sana. 😍
Wakiume ndio sina kabisa na siwawezi, Kwanza lazima utongozwe then unamfriend-zone, Hapo unaanza kuishi nae kijanja janja na unaanza kutumia akili sana kuishi nae, it’s boring nachokaga kwahiyo sitaki tu…
Naomba JF wapokee mahari. 😅Nadhani kwa ulivyojieleza hivyo, mimi ndo mwanaume pekee ambaye naweza kuishi na wewe, kama unabisha jaribu uone
Naomba nijue kwanza kiasi cha mahariNaomba JF wapokee mahari. 😅
2000 ile ya zamani 😂Naomba nijue kwanza kiasi cha mahari
Nakuja na malori matatu yaliyojaa ng'ombe na pesa taslimu juu ilimradi nikupate, siwezi kukukosa wewe2000 ile ya zamani 😂