Mambo gani yana/yamekufanya usiwe na marafiki wengi?

Mambo gani yana/yamekufanya usiwe na marafiki wengi?

Hi people,
Happy weekend!!

Mambo gani yanakufanya usiwe na marafiki wengi?

Mie sababu kubwa ni kupishana interests(experience yangu ya 2-3 years back)
Rafiki zangu wanapenda bata while mie sio mpenzi wa bata
Rafiki zangu ni aina ya watu wanategemea tukienda mahali mfano restaurant,bar itafanyika namna yoyote tu atokee mwanaume/wanaume atakaye-cover bills zetu, kutununulia zaidi na kuacha some cash

Nashindwana na aina hii ya marafiki,bahati mbaya ni wengi wapo hivi so nimebaki nina watu ninaofahamiana nao tu lakini sio marafiki

Uzi tayari
Sina marafiki wengi kwasababu i am tough! Sipendi umbea, uongo na uzushi! Niko na rafiki mmoja wa Advance, wengine tunasalimiana tu maisha yanakwenda! Na sitarajii kuwa na marafiki
 
Hi people,
Happy weekend!!

Mambo gani yanakufanya usiwe na marafiki wengi?

Mie sababu kubwa ni kupishana interests(experience yangu ya 2-3 years back)
Rafiki zangu wanapenda bata while mie sio mpenzi wa bata
Rafiki zangu ni aina ya watu wanategemea tukienda mahali mfano restaurant,bar itafanyika namna yoyote tu atokee mwanaume/wanaume atakaye-cover bills zetu, kutununulia zaidi na kuacha some cash

Nashindwana na aina hii ya marafiki,bahati mbaya ni wengi wapo hivi so nimebaki nina watu ninaofahamiana nao tu lakini sio marafiki

Uzi tayari
Nilikua na best friend job enzi fulani,kumbe alikua bize sana kwenye simu na boss,vitu vingi tunavyoganya na kujadili boss akawa ananiuliza kimtego yale yale tulioongea.
Nilipokuja fahamu nilihama mpk eneo la kazi kwakua mazingira yalikua magumu hata nikiomba likizo ilikua ngumu kupewa,nikabadili mpk laini Ili asinitafute tena kwakifupi I trust no one kwa sasa
 
Na rafiki nakwambia utaonewa wivu muda wote, ukiongea na mdada mwingine tayari bifu linaanza wanaanza kutupiana vijembe..!! 😹😹😹

Mimi nawadinya wote kazini, mtaani, nje ya home, tena nawavalia na high heels 👠 km husna 🤣😹😹
Na unanyoa kiduku kama husna
 
Back
Top Bottom